Mtag mwenye mikono yake!

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,729
fce0124e898b81e19394567cee9926f4.jpg
 
Hapa ndo huwa nachoka aiseee, hii ni nn jamani, hvi kwann watu hawajikubali walivyo, ama waliambiwa ukiwa mweusi ni mbaya
Najivunia ublack wangu aiseeee
 
Kwahiyo pia tukieka picha ya mtu mweusi sana halafu tukaonganisha na picha ya tairi la gari nayo pia itakuaje?
 
Kwahiyo pia tukieka picha ya mtu mweusi sana halafu tukaonganisha na picha ya tairi la gari nayo pia itakuaje?
nadhani hujaelewa topic iliyopo ubaoni mkuu, pitia tena na pia ni ruksa kuandikia uzi hayo matairi yako
 
Hapa ndo huwa nachoka aiseee, hii ni nn jamani, hvi kwann watu hawajikubali walivyo, ama waliambiwa ukiwa mweusi ni mbaya
Najivunia ublack wangu aiseeee
safi sana mke, nakupendea huo huo weusi wako
 
Back
Top Bottom