Mtabiri sio mtu wa mchezo mchezo

Mtabiri sio mtu wa mchezo mchezo

Aisee hii nyota ya Leo dah
1ecec7ac43943a5321173796a764f505.jpg
Uwieeeee
 
Hahahaha. Mtabiri katumwa huyo. Bila shaka dada ake anatoka na mlengwa wa hiyo post.
 
daaahhh mimi na nyota ya mizani halafu hata sihongagi!! hey kuna mtu humu ambaye anataka kuhongwa niwe namuhonga kila siku mpaka nipate ghorofa!!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom