Mtabiri sio mtu wa mchezo mchezo

Mtabiri sio mtu wa mchezo mchezo

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
13,369
Reaction score
30,011
Aisee hii nyota ya Leo dah
1ecec7ac43943a5321173796a764f505.jpg
 
huyo mtabari wamwendo kasi. mbona sina tabia ya kuhonga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mtabiri ametisha kwa mwendo kasi wa 4G.! Alafu imechapishwa Gazeti la Mtanzania... Aiseee
 
wakuu kumbukeni hiyo ni nyota ya mizani, yani upimishe ili ibalance pande mbili au ziwe sawa, so anachokwambia mtabiri hapo jaribu kupimisha na akili yako au kipato chako vinaendana, mtabiri huyu wa mwendo kasii [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

jf huwa inaniliwaza kwa nyuzi kama hizi
 
Mbona ninalo hilo Gazeti hapa, hiyo nyota mbona haisemi hivo ??????
 
Sayari ya Jupiter sasa hivi iko kwenye nyota ya Mizani (Libra) na itakaa hapo kwa miezi 10 mingine ijayo. Jupiter ni aina ya "sayari au wengine huita nyota ya jaha", ikikutembelea kwenye mlango wako wa kwanza (kama ilivyo Mizani sasa hivi) basi huo utakuwa mwaka wako wa bahati sana.

Hapa natoa taarifa tu kuthibitisha huo utabiri hapo juu. Kwa wenye nyota ya Mizani kaeni mkao wa kula mwaka huu wote.

Wasioamini unajimu tafadhali msinitukane.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mtabiri ametisha kwa mwendo kasi wa 4G.! Alafu imechapishwa Gazeti la Mtanzania... Aiseee
Hiyo sio nyota yako kweli?[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
wakuu kumbukeni hiyo ni nyota ya mizani, yani upimishe ili ibalance pande mbili au ziwe sawa, so anachokwambia mtabiri hapo jaribu kupimisha na akili yako au kipato chako vinaendana, mtabiri huyu wa mwendo kasii [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

jf huwa inaniliwaza kwa nyuzi kama hizi
Mtabiri hatak mchezo kaona watu wagumu kuhonga so lazma awasaidie kwa kuwapiga fix
 
Sayari ya Jupiter sasa hivi iko kwenye nyota ya Mizani (Libra) na itakaa hapo kwa miezi 10 mingine ijayo. Jupiter ni aina ya "sayari au wengine huita nyota ya jaha", ikikutembelea kwenye mlango wako wa kwanza (kama ilivyo Mizani sasa hivi) basi huo utakuwa mwaka wako wa bahati sana.

Hapa natoa taarifa tu kuthibitisha huo utabiri hapo juu. Kwa wenye nyota ya Mizani kaeni mkao wa kula mwaka huu wote.

Wasioamini unajimu tafadhali msinitukane.
Ila ndio uhonge kwel mtabiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom