Kwa anayehitaji mwalimu wa masomo ya ziada wa kukufuata nyumbani

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778
Mwalimu ana uzoefu wa kufundisha masomo ya PHY, CHE na BIO kwa ngazi ya Ordinary Level (form 1 to 4)

Anakufundishia wanao mpaka wao wenyewe wanapenda, wanabaki midomo wazi huku wakifurahia uhai wa masomo, kamwe hutojutia maamuzi! Shuleni wanakuwa wanakwenda kutalii tu!

Sio kwa namna ambavyo PHY itakuwa inachalangwa, CHEM ndio usiseme, kwenye BIO ndo kabisaa, mtelezo!

Uzuri mwalimu anakuwa anawafuata wanao nyumbani, na pindi linapigiwa hapo hapo! Kikubwa tu, nauli halali ya kutoka nyumbani kwa mwalimu hadi nyumbani kwako itahitajika!

Pia gharama za mafunzo ni nafuu kabisa! Na muda wa ku attend unajipangia wewe kama wewe! Masomo yanafundishwa kwa vivid examples, mpaka mwanao anakuwa akiwacheka wenzie shuleni!

Pia kwa wale wazazi ambao wanahitaji tuition kwa watoto wao wa English Medium kwa ajili ya masomo ya Science na Mathematics hamjaachwa nyuma! Std 5 to 7

Dar es salaam
Available time: 7 am to 9 pm
Subjects: PHY, CHE, BIO O'level + MATH, SCIE Std V to VII

Yaani ni kufika tu, na kuanza pindi!
 
Kufikia hapo huyo sio Mwalimu Ni tapeli hakuna Mwalimu by profession anayefundisha masomo matatu
 
Oho! Dunia ya sasa unatakiwa kutazama maendeleo ya mwanao kwa kila kile anachoki gain, anachofundishwa, mpime kama ameelewa kwa njia rahisi tu ya kumwambia akifafanulie alichojifunza! Kisha chukua material aliyojifunza, mpelekee huyo unayemuita professional ayadadavue!

Lakini ukisema utumie kigezo cha mavyeti ya mhusika itakula kwako!

Mfano, wakati nikiwa A level, niliwahi fundishwa na Sir mwenye degree 2 za Phys na miwani yake juu! Lakini Mechanics ilikuwa inampiga chenga!
Huyu tutamzungumziaje?

Pole sana mkuu!
 
Kabisa yani labda awe kasoma tu hayo masomo vizuri advance japo kufundishwa na mwalimu by profession kunakufanya uwe na competence
Ndivyo ilivyo kwa huyu mwalimu!
Incase of Syllabus, anajua fika yapi yanatakiwa, yapi ni kupoteza muda!

Sio Mwalimu wa chuoni kusema kapiga education!
 
Kabisa yani labda awe kasoma tu hayo masomo vizuri advance japo kufundishwa na mwalimu by profession kunakufanya uwe na competence
Hawezi jua huyo inshu za
Education Psychology
Curriculum
Syllabus
Teaching methodology
Philosophy of education

Yote kwa yote nimbinu za upambanaji tumsapot tu
 
Oho! Dunia ya sasa unatakiwa kutazama maendeleo ya mwanao kwa kila kile anachoki gain, anachofundishwa, mpime kama ameelewa kwa njia rahisi tu ya kumwambia akifafanulie alichojifunza! Kisha chukua material aliyojifunza, mpelekee huyo unayemuita professional ayadadavue!

Lakini ukisema utumie kigezo cha mavyeti ya mhusika itakula kwako!

Mfano, wakati nikiwa A level, niliwahi fundishwa na Sir mwenye degree 2 za Phys na miwani yake juu! Lakini Mechanics ilikuwa inampiga chenga!
Huyu tutamzungumziaje?

Pole sana mkuu!
SIO KILA MWENYE DEGREE 2 ZA PHYSICS AU SOMO LINGINE NI MWALIMU WENGINE WANAFUNDISHA TU LAKINI SIO TEACHER BY PROFESSIONAL
 
Hiyo kazi ngumu sana ya juwafata watu. Wenye uwezo wa kukupa hyo hela angala laki kwa mwezi na nauli juu watoto wao wako kaizirege, tengeru boys na marian huko.

Watoto wa wapiga kura wamezaliwa na wapdnda vya bure.

Piga harakati zingne mkuu.
 
Back
Top Bottom