Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

8.Kuruhusu gesi ipandeni bei Ili misitu iteketee kabisa.
Gesi zilinusuru misitu kwa 78% maana ilikuwa ni ghali kupikia kuni na mkaa.
 
Kusema kweli mimi binafsi hata akiongea sina taimu ya kumsikiliza, serikali yake imekuwa onevu sana siku hizi
 
Eti amekimbilia rwanda kusikilizia upepo, yaani nchi hii tiss wamefeli sana
 
Mkuu nina swali hapo
Kwa nini serikali ya mama iliweka hizi tozo? Ok tuseme hakujua Kama watu watalalamika, sasa inakuwaje wanasema hawawezi kuziondoa(rejea kauli ya Msigwa Jana)
Tukubali tu huyu mama uraisi hauwezi
Kuna kamati imeundwa - tusubili majibu ya kamati.
 
Achananae mkuu hao ndo bendera fata upepo
 
Hata kipenzi changu mlimkosoa the same tu hakuna rais atatokea asikosolewe ...so ndio asili yenu binadamu kuongea...lala salama chuma ya kijerumani...jiwe kuu walilokataa waashi....Leo kiko wapi wanakukumbuka
 
Unaunga mkono ndio,lakini sio kila kitu,vingine ni mbigili.
 
Safi sana mkuu majitu mengine yanajitoa fahamu
 
Kosa halianzii kwake bali linaanzia kwa Mwendazake alipomteua kuwa Mgombea mwenza.

Bazungu balonga; it is a vicious cycle.
Walio muua mwendazake awakufanya kosa ????,kifo cha magufuli kitawasumbua sana
 
Amepoteza mvuto sana nakuambia. Nafasi hiyo ni kubwa sana kwake anashindwa kuihimili
Ni vizuri watu waku underate halafu uje uwashangaze kwa matokeo. Kuliko watu kuweka matumaini makubwa halafu matokeo yanakuwa mediocre. Piga kazi Rais SSH
 
Labda mtaa wa kwenu Mkuu ila sio mtaani kwetu.

Watu washamuelewa mama,we kwa akili yako watu kama wafanyabiashara,wafanyakazi, wakandarasi na mafundi unaweza waambia kwamba hawamuelewi mama?

Uongo huu hautakusaidia mkuu tunasimama na Hangaya hadi 2030..
 
Umesahau kuteua wapigaji waliyokataliwa na magufuli.
 
Wakati huo, kila mwisho wa mwezi mtaani kwenu wanakuja watu kutoka serikali za mitaa wanataka sh 3000 eti ulinzi shirikishi. Ukikataa wanakuletea askari wanakukamata wanasema hiyo ni "by law" ambayo wananchi mlipitisha nyie wenyewe kwenye kikao cha wananchi.
Ukiwaomba sheria, wanakupa sheria ya miaka ya 1980's inayotaka wakazi wa eneo fulani wahakikishe ulinzi na usalama ktk maeneo yao, kwa hiyo kama wewe utaki kutoa hela basi uamke usiku uanze zamu za kulinda 😁😁
 
Kila Mwanzo ni mgumu, tukija ona mafanikio ya hizi tozo tutakuja kuishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuthubutu. Tukitaka maendeleo ya kweli lazima wananchi wote wachangie kwa uwezo wa kila mmoja wetu. Awamu ya sita inaongea ukweli - si almasi wala dhahabu zitatubeba, lazima kila mwananchi achangie kwa uwezo wake. Mtumiaji mkubwa atakatwaa zaidi, mtumiaji mdogo naye atalipa kwa jinsi anavyotumia. Kumbuka kwamba awamu ya sita ina miaka mitatu tu ya kufanya kazi haiwezi kusubiri hela za wahisani au wenye makampuni ya madini. Makubaliano na watu wa nje yanachukua muda mrefu kutekelezwa. Serikali inatakiwa kushughulikia wezi wa pesa za umma haraka na bila huruma.
 
Siyo kila mtanzanzania anaweza kuchangia hoja ya uchumi. Wewe Bupa8419 Fanya shughuli zingine kama kumwagalia maua uani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…