Unanitakia nini?
Nimekuona unanisema sema wiki hii, hujui niko bize nakamuliwa Ikulu?
Unataka kupoteza uraia wa jf naona.
Usibadili kwanza, hadi utakapo pokea PM yangu.Hahahahahaaaa si nimekuiga wewe....
Lol ila itajibadili baada ya masaa 24
naitafuta Segera sasa, huo mtura niufate wapi aisee? Halafu ni ukoje tena?
Hakuna lolote.....
Watu walikupenda enzi za Maziwa Ya Mgando ila tangu wakuchinje na kukubakiza Kongosho hakuna mwenye hamu na wewe.....
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiii
Ukiudhiwa Kazini, nyumbani au popote we ingia mtaa wa jei efu, utaburudika Na kusmile again. Naupenda huu mtaa kuliko kitu kingine chochote.
uzuri wa huyu Balozi atawakilisha jinsia zote bila upendeleo, si unajua jinsia zake? Lol
naitafuta Segera sasa, huo mtura niufate wapi aisee? Halafu ni ukoje tena?
ila usithubutu uende si hasa, wanakula kongosho yako na bandama.
Afu wanakulaza kwa maziwa ya mtindi.
Huko ni Kwenda kuangalia breaking news tu, hamna kutia neno.
naitafuta Segera sasa, huo mtura niufate wapi aisee? Halafu ni ukoje tena?
Hahahahaaaa Mwali...lolUsibadili kwanza, hadi utakapo pokea PM yangu.
Hii avatar imekutoa mwake kabisa! lol
Kwa sasa PM imefungwa, nasubiri waniletee funguo.
kumbe umefanana na jamaa? :A S 39: not bad...Hahahahaaaa Mwali...lol
Ila hata mimi sijaizoea bado utashangaa naambiwa nimefanana na huyo jamaa....uzuri hata km ni mimi watu watajua niweka ya mwingine...safi sana
We sikutaki hata kwa mtutu...unataka nikuoe then tukiwa ndani ukibadilika jinsia ile kwangu unigeuze...lolHe he he, nikiamua nampindua amyner.
Una bahati am so taken siku hizi na naniliyu wangu lol
kumbe umefanana na jamaa? :A S 39: not bad...
mi sijafanana na huyu mrembo wa avatar yangu hata tone! lol
Mwambie aende Malindi au fresh coach...nenda pale moshi kuna bar inaitwa mkulima ipo maeneo ya dar street wanauwezea vibaya mno
Mi simjui. Kwani ni nani huyu? yeye ananijua?We sijafanana bana...nimesema hata ningekuwa ni mimi hapo usingejua kama ndio mimi...teh kwani huyo humjui?
Ukiudhiwa Kazini, nyumbani au popote we ingia mtaa wa jei efu, utaburudika Na kusmile again. Naupenda huu mtaa kuliko kitu kingine chochote.
Mi simjui. Kwani ni nani huyu? yeye ananijua?