Watu wanalalamika mtaaani pagumu wakati kazi zenyee hawawezi kuomba kwa kifupi kusoma sana na kupata kazi ni vitu viwili tofauti.maana kutafuta kazi kunahitaji skills sio unakurupuka CV inapiga sarakasi cover letter ndo inacheza sindimba kabisa,,,,,,