Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,020
Duuh! Huyo ndo anatubania sisi vijanaKuna mzee kastaafu juzi kazi ya upolisi,, kakaa mtaani kaona ugumu wke kaamua kuomba tena apewe kazi huko huko polisi,,
Kwa kweli mtaani sasa tight si mchezo.
samahani mkuu,kama bado kuna nafasi ya storekeeping naomba unisaidie broo na mm niweze kusogeze siku mbele,sorry sana nataraji majibu yako ndugu.Tatizo unataka kazi kubwa ndugu. Mtaani siyo pagumu kiasi hicho kwa mtu usie chagua kazi. Tatizo eti kwa kuwa mtu umesoma accounts unataka kazi lazima uwe accountant shirika fulani kubwa au serikalini.
Hii hata mimi ilinisumbua sana nilipomaliza shule. Ila kwa hali iliyopo sasa ivi pambana sana upate kazi yeyote ile atleast upate kamtaji ka kuanzia tuu au huku unafanya hako ka kazi unatafuta work of your dream. Kwani siyo kila mtu amezaliwa mjasiriamali others were born to be employed.
Kuna kijana mmoja ana degree yake ya accounts alisota sana mtaani kwangu nikawa namwambia babaake amwambie nimpe kazi awe storekeeper kijana akawa anagoma. Alisota mwaka na nusu ila mwezi wa pili alikuja mwenyewe kubembeleza ile kazi na sasa ivi yupo vizuri tuu with peace of mind. Huwezi amini tunampa ka mshahara ka kawaida ila anajutia sana muda aliopoteza mtaani.
So usikate tamaa ndugu yangu
dah..mkuu inachekesha lakini inahuzunisha.samahani mkuu,kama bado kuna nafasi ya storekeeping naomba unisaidie broo na mm niweze kusogeze siku mbele,sorry sana nataraji majibu yako ndugu.
Haki ya Mungu kusema ukweli ni mpenzi wa Mungu, mtaani kugumu mbaya. Yani kama upo kazini usijaribu kuchezea kazi, ni kugumu sanaa!
Waajiri wamefunga milango, ilhali vigezo tunavyo ila ndo hivyo jamani mtaani mpaka mtu unatamani uuze mwili.
ugumu wa maisha ndio kipimo cha akili...
Ndiyo hivyo mtaani pasua kichwa sana,inafika kipindi hata mia tano ya chapati unakosa kaka,ukianza kumfatilia binti ss ambae kila siku anakuona upo kitaa ndiyo hata kuongea na wewe hataki kakadah..mkuu inachekesha lakini inahuzunisha.
Vumilia kidogo ajira zinakjaHaki ya Mungu kusema ukweli ni mpenzi wa Mungu, mtaani kugumu mbaya. Yani kama upo kazini usijaribu kuchezea kazi, ni kugumu sanaa!
Waajiri wamefunga milango, ilhali vigezo tunavyo ila ndo hivyo jamani mtaani mpaka mtu unatamani uuze mwili.
kwa watu tunaotoka katika working class families tumepitia mambo za tabu kama hizo esp kipindi mtu unamaliza chuo, mie hizo mambo za mabinti kipindi hicho wizara yake niliifunga kabisaaaa...ilifikia kipindi viatu vya kwenda kwenye interview tu ilikuwa taabu sembuze hao wakina mwajuma na roseNdiyo hivyo mtaani pasua kichwa sana,inafika kipindi hata mia tano ya chapati unakosa kaka,ukianza kumfatilia binti ss ambae kila siku anakuona upo kitaa ndiyo hata kuongea na wewe hataki kaka
Haki ya Mungu kusema ukweli ni mpenzi wa Mungu, mtaani kugumu mbaya. Yani kama upo kazini usijaribu kuchezea kazi, ni kugumu sanaa!
Waajiri wamefunga milango, ilhali vigezo tunavyo ila ndo hivyo jamani mtaani mpaka mtu unatamani uuze mwili.
Kufundisha masomo gani mkuu?Jamani walimu wa kike wawili na boys 1 wanahtajika kufundisha medium....wawe morogoro....kama uko poa nichek 0716069884
poa kaka pamoja sana.......itabidi hii wizara ya mapenzi na mm niifunge kabisa,kama hauna cash hata konfidensi inapotea kabisa.kwa watu tunaotoka katika working class families tumepitia mambo za tabu kama hizo esp kipindi mtu unamaliza chuo, mie hizo mambo za mabinti kipindi hicho wizara yake niliifunga kabisaaaa...ilifikia kipindi viatu vya kwenda kwenye interview tu ilikuwa taabu sembuze hao wakina mwajuma na rose
ila hayo ni mapito tu itafikia point utasahau kabisa but amin amin nakuambia usichague kazi maana wewe ni mwanaume na at that age you don't need to do any mistakes, all you need to do is whatever gives what you need.