imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 989
You must be one of them!!Jamani mbona kimekomaliwa kitu kidogo sana ikilinganishwa na thamani ya ushauri wa kitaalamu anaoutoa huyu ndugu yetu tena kwa bure kabisa? Wewe kama hufugi hata kuku jikate uende kwenye majukwaa ya udaku tuache na mtaalamu wetu aendelee kutusaidia. Mazuzu bado wengi sana TZ.