Mtaalamu wa kuhariri(EDIT) registry

Mtaalamu wa kuhariri(EDIT) registry

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,940
Nimejaribu kutumia command prompt kama admin na kuchokonoa kwenye registry lakini nimeshidwa kussolve hili tatizo
3.PNG

Anayeweza kwa njia nyingine, au alternative nyingine inakuaje hapo?

Nataka niweke usalama kwa hio folder lakini kama inavyoonekana katika picha hapo juu, hio option iko dissabled

So wanaTech How to do thid??
 
View attachment 574074

Mkuu kwa ni nini hasa unachotaka kukifanya?
 
Nimejaribu kutumia command prompt kama admin na kuchokonoa kwenye registry lakini nimeshidwa kussolve hili tatizo
View attachment 574074
Anayeweza kwa njia nyingine, au alternative nyingine inakuaje hapo?

Nataka niweke usalama kwa hio folder lakini kama inavyoonekana katika picha hapo juu, hio option iko dissabled

So wanaTech How to do thid??
Mkuu tumia third part software kutengeneza password folder
kuna ZIP na Winrar
 
Nataka niweze kufunga(encrypt) folders kwa password
yeah jaribu kufuata kitu alichosema Gregoire's hapo juu
-tumia third part software kutengeneza password folder
-au download folder locker itakayokuwezesha kulock hizo folders

Gregoire's
 
sawa, hakuna namna nyingine ya kutatua tatizo hilo hapo juu tofauti na hizo???
 
Back
Top Bottom