Tomasi Sankara
Senior Member
- Oct 6, 2018
- 126
- 68
The leading antifungal medications for ringworm are griseofulvin (Grifulvin V, Gris-PEG) and terbinafine hydrochloride(Lamisil). Both are oral medications that you take for approximately six weeks.
Both have common side effects, including diarrhea and upset stomach
Mi nasumbuliwa na miguu kuuma hasa usawa wa nyayo Hadi kuja kwenye eneo la zinapoishia soksi ila kwenye pads miguu inachoma choma Sana,hasa nikikaa muda kidogo ni Kama damu haiendi vizuri,mzoezi nafanya Sana but hakuna tofauti,moyo nimepima kipimo cha echo na cgm nadhani Kama sijakosea hakuna tatizo linaonekana
Je naweza pata tiba yake
Kitalaam unaweza kutumia griesfuvin(anti fungal zngine) but mbadala unachukua septylin vidonge vitano au sita then unasaga vinakuwa unga kbx kisha unachanganya kweny mafuta ya kupaka mfano babycare,skala nk. Kadiria mafuta concentration ya dawa iwe kubwa kwny mafutaMimi nasumbuliwa na mba nshatumia kila aina ya dawa ni unapotea unajirudia tena
Naomba nisaidie au nipe ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema kufika kupima kwanza ili kujua ni vimelea gan vinasababisha tatizo hiloMimi nina shida moja mwili unawasha sana hasa nikitembea sehemu za baridi nikapigwa na kaupepo nawashwa hadi nataka kulia sijajua tatizo nn au dawa msaada
Tumia Cream za Anti fungal zifuatazo japo cjajua hyo fungus imesababishwa na joto ama umeipata kwa mwanamke but na recommend anti fungal hizNaomba kuuliza dawa ya fungus sehem za sili kwa mwanaume na bei yake
mafuta ya mnyonyoWrite your reply...
nahitaji kujua tatizo la kutoka kinyama wakat wa kutoka haja kubwa na matibabu yake
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.