Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dutches

Dutches

Member
Mar 20, 2019
7
20
U.T.I ni infection ya mirija ya mkojo. kama daktari alikupima na kweli unayo tatizo hilo, Basi nitakushauri hivi:
  1. Dawa Amoxiclav 500mg kutwa mara mbili kwa siku 7. (Hii dawa unaua vimelea na kuondoa maambukizi)
  2. Dawa Cital (Hii dawa itakusaidia kuondoa maumivu kwenye mirija ya kukojoa)
  3. Kunywa maji mengi kama lita 3 au 4 kila siku (unapokunywa maji unapunguza idadi ya vimelea)
Asante
The best thing to do anywe quality amount of water that's it coz hata meds anapatiwa ziko zikifnya kazi ya kustimulate ADH ili apate kutake in a lot of water daily.
It's Dr.D
 
Loeli

Loeli

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
998
2,000
Dr. ninaomba utoe ushauri wa matibabu mbadala ya Multinodular Goiter bila kufanya Operation. Nasikia ziko Natural Therapy zinamaliza kabisa Goiter. Hata mwana JF ambaye ameshapona Goiter au ndugu kwa diet au dawa za asili ninaomba atusaidie tuna ndugu ana tatizo la Goiter imegundulika wiki tatu zilizopita na iko katika stage za awali. Bado kujitokeza kwenye shingo.
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
3,206
2,000
Dr habari ya kazi, kuna kaka yang yuko mkoani huko anasumbuliwa sana na bawasir ni dawa ipi mbadala inaeza kumsaidia kuondoa tatizo hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

Frank Mpole

New Member
Mar 30, 2019
1
20
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Doctor mimi Nina tatizo la Hepatitis B' je naweza kupata tiba kutoka kwako?
 
P

Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
159
225
Dawa kwasikio linaalotoa muugurumo Kama Luna Mani na macho ambayo hayaonimbali
 
R

Rivamba J

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
390
250
Vipi kwa tatizo la neurofibromitosis kuna dawa zinazowezaondoa uvimbe hasa uliomtokea mdogo wangu kuzunguka jicho na pua amefanyiwa operation 3 ila unarudi tu.
 
ladypeace

ladypeace

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
876
500
Asalam ndugu ni ipi dawa ya mwanamke asie na hamu ya kufanya tendo la ndoa na hana hisia zozote hata akiwa anafanya.asante
 
son_of_masia

son_of_masia

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
354
250
Habari za muda docta,kwa muda ss nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kichefuchefu pale napotumia vitu vitengenezavyo na ngano kama maandazi,mikate,chapati n.k.nimeshamia dawa z minyoo mbqlimbali bila mafanikio.Je naweza kupata tiba maana nakosa amani kabisa na hli tatizo.
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
4,868
2,000
Doctor, sioni ukitoa majibu ya wahitaji.
Vip upo busy sana???
 
ITmaster

ITmaster

Member
Jul 4, 2019
5
45
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
 
Scorpa

Scorpa

Member
Jun 23, 2019
55
95
Naomba kujua side effects za dozi ya CEFTRIASONE INJECTION. Na jee hudumu kwa muda gani??.

Maana Toka nimalize hii dozi napata tabu Sana.
 
Scorpa

Scorpa

Member
Jun 23, 2019
55
95
Maumivu ya koo, maumivu ya viungo, vitu kuchomachoma mwilini pia kuhisi miguu kuwaka Moto, maumivu hutokea Sana upande wa kushoto kwenye kiwiko, magoti, na kwenye mabega tumboni.

Ila kuwashwa hasa maeneo ya tumbo na mapajani... Hutokea wakati wa usiku
 
Dukani

Dukani

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
962
1,000
Acha utapeli wewe,tafuta hela za halali huna dawa wala nini.
 
kalendi

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,310
1,500
Nawashwa na kujikuna mwili mzima nini tatizo?
 
K

kibuyu180

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
1,430
2,000
Dokta pole kwa majukumu. Naomba majibu ya;
1. Kupata kichefuchefu hasa nikila ndizi, chungwa, embe usiku. imepelekea kutokula matunda ama vyakula vya ndimu au vichachu usiku. Nini tatizo?
2. Mwanangu amefikisha miezi 5 na wiki 2, nimeanza kumpa serelac amepata kubabuka ngozi. Nikaacha kumpa. Nikaanza kumpa uji wa dona tu, ameanza kubabuka tena. Nini tatizo? maziwa ya mama ake ashibi sasa
 
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
692
1,000
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
Mkuu umecheki sukari ipo sawa??
 
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
692
1,000
Nawashwa na kujikuna mwili mzima nini tatizo?
Kuna mambo mengi ila kajaribu kupima damu uwingi wake
Ila cha muhimu hakikisha usafi nguo na vitu kama hivyo sehemu ya kulala and so on
 
Top Bottom