Katika taarifa ya habari Chanel ten leo Alhamisi 02/11/2017 saa moja jioni sikuamini masikio na macho yangu, kuona na kumsikia mtu anasema "Serikali ipromoti impunity" jamani! Au labda mimi sijuwi maana ya hill neno impunity?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.