Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
hahahahaaaa
women to women!!! baraaa!!!
Babe wewe umeandikiwa bed rest.. Mtoko wa nini tena..? Ntakuletea utakacho hom.. Ukiwataka Twanga nitakuletea.. Ukimtaka Daimondi aje akuburudishe kwa nyimbo nitakuletea hapo.. Achana na hawa akina Mamndenyi..
unachukiaga kwa sababu umezoea kuona mamekapu ya ajabuajabu
jamaaaani........wiii Heaven on earth unaona mbwembwe za kakio?!?!?
sosoliso mume wangu bed rest mbona iliisha wiki mbili sasa?!?!?
asa ivi natakiwa nifanye mazoezi ili njia ifunguke.............alaaaa!!!
niruhusu leo tu nikacheze baikoko!!!
haaaa huyu sio Lady doctor bwana...........the lady is soooo natural!!!! si ndo mana jemedari wako amesurrender hapoo
Mtume nilidhani nimeona msukule!Huyo kujisiriba hivo mayo make up ndo nini?unachukiaga kwa sababu umezoea kuona mamekapu ya ajabuajabu
jamaaaani........wiii Heaven on earth unaona mbwembwe za kakio?!?!?
sosoliso mume wangu bed rest mbona iliisha wiki mbili sasa?!?!?
asa ivi natakiwa nifanye mazoezi ili njia ifunguke.............alaaaa!!!
niruhusu leo tu nikacheze baikoko!!!
ndim na zile limao ulimaliza zote tana,nilete nyingine
womens to womens ni kusaidiana zaidi cc to babu Asprin........,
Asije akakimbiza watu tu!Ni Kongosho
nasikia ana mtoko