......... Mtaalam wa make-up anahitajika

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,738
Mabwana na Mabibi,
Assalamu alaikum ......

Wikiendi ndo imeanza;
Leo mie Mamndenyi nina mtoko wa maana (Msiulize ninatoka na nani).

Kwa maneno mepesi sana ninahitaji mtaalam wa kupaka paka na kuremba remba
kwa lugha ya kwetu anajulikana kama " professional makeup artists";

Tafadhali bandika uzoefu na mawasiliano yako hapa usisahau kuweka bei zako malipo ni kwa dola ya kimarekeni;

Muhimu:

Haijalishi kama uko huko juu aliko chama au Mzee Mwanakijiji
au uko tandale aliko Madame B au mbagala aliko Kongosho
hata kama uko mkoa aliko Arushaone, marejesho, Erickb52 au uko chimbo aliko Vin Diesel na AmKATRINA, au town senta aliko Mtambuzi na wake zake akina mwaJ; amu na wengineo kibao;
Au uko manzese aliko sosoliso na mkewe Paloma; hata kama upo kusikojulikana kama @C6, Rejao, Slave na wengineo wengi pia karibuni.

Hii haitamhusu sana kiwatengu, Bujibuji, ladydoctor (wivu), Mr Rocky.

Ndege ipo tayari kwa ajili ya kuja kukuchukua na kukurudisha; rubani wangu Mwita Maranya anasubiri pale kwa Pdidy.

Wale wasichana warembo kama akina Heaven on earth na mrembo anayelia lia ladyfurahia, mimisa mke/wake za Bishanga mnaweza kusogea ili kupata mautaalam pia.


Karibu mwisho wa usaili ni leo saa tisa alasiri.
 
Last edited by a moderator:

Mamndenyi...alokudanganya kuwa nipo chimbo nani?
Ngoja nikutumie wake zangu waje wakurembe....
Vigezo na masharti kuzingatiwa...
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi naomba uning'ate sikio basi hizi mbwembwe zote kuna nini hii weekend!!!!
 
Last edited by a moderator:
We Mamndenyi acha kuota! Tangu lini mie nikawa mke wa Mtambuzi? Huyo baba alivyo na mabinti wanoko akina King'asti! Tena nikuambie kabisaaaa, leo Mwita Maranya ana kazi nyingi na muhimu hivyo tafuta rubani mwingine kama kweli unamtaka sana mrembeshaji.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mie pia nna mtoko leo tehetehe sijui ntakutambua?!?!.........afu naimaindi hiyo mekapu ya Heaven on earth........eti amekurembua nani?!?!?
 
Last edited by a moderator:
Nikajua umehamia kijijini kuendelea na ile
kazi yako ya kusuluhisha ndoa tata;

Mamndenyi...alokudanganya kuwa nipo chimbo nani?
Ngoja nikutumie wake zangu waje wakurembe....
Vigezo na masharti kuzingatiwa...
 
Last edited by a moderator:
heeee,
Mie hapa nitachagua wakifika
as mivao ndo inasogezwa hapa kutoka huko ea poti.


mie navaa tenge la urafiki tu hapo limeshonwa manzese mashono elf saba!!!
ila ntapendezaaaa.....................ntaweka picha aisee
 
Mamndenyi mie pia nna mtoko leo tehetehe sijui ntakutambua?!?!.........afu naimaindi hiyo mekapu ya Heaven on earth........eti amekurembua nani?!?!?

Babe wewe umeandikiwa bed rest.. Mtoko wa nini tena..? Ntakuletea utakacho hom.. Ukiwataka Twanga nitakuletea.. Ukimtaka Daimondi aje akuburudishe kwa nyimbo nitakuletea hapo.. Achana na hawa akina Mamndenyi..
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi
Kilimo kimenifanya nikose tenda ya kumpamba mwari wangu; sio kitu mitoko mengine nitakupa namba ya ziada nimpambe nione miondoko yake!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…