Mtaalam kesha pakia ... khaaaaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
302719_10151272936140568_1003657934_n.jpg
 
Huyo aliemezwa ni mtu? kuna picha ilikua inaonyesha hilo dude kama hilo limemeza mlinzi wa shirika moja la kimataifa
 
alafu huyo dogo si alisema atajivua gamba?sasa mbona bado anakula kula bila mpango
 
Chatu mkali kwa nini wamuogapa mnyama asiye kiburi hana mfupa apenda machakani mtini hakuzoea, hutega njiani cku amekusudia ni mwepesi kubaini adui kumfikia...

Usimchezee chatu... ooh chatu eeh...(International Orchestra Safari Sound)
 
...gogo ukimtumpia utaukosa ushindiii

Natoa Onyo kwa yeyote ajihadhari ,yasije yakampata ya....

Dah!! enzi muziki ukiitwa muziki. Siyo sasa kelele za muziki.
 
Marijani Rajabu bana du ukinikumbusha machozi yananitoka.
 
Chatu mkali kwa nini wamuogapa mnyama asiye kiburi hana mfupa apenda machakani mtini hakuzoea, hutega njiani cku amekusudia ni mwepesi kubaini adui kumfikia...

Usimchezee chatu... ooh chatu eeh...(International Orchestra Safari Sound)

...gogo ukimtumpia utaukosa ushindiii

Natoa Onyo kwa yeyote ajihadhari ,yasije yakampata ya....

Dah!! enzi muziki ukiitwa muziki. Siyo sasa kelele za muziki.

wamjua chatu gani huyoooooooooo! hahahaha...........chatu mwenye damu moto huyo aliimbwa kimafumbo wacha kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom