Mtaala mpya haujaeleweka? Au tunacheza na maisha ya watoto wetu?

CHIEFMANGU

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
654
Reaction score
1,070
Mtoto wangu anasoma shule ya sekondari MGULASI, iliyopo kata ya CHAMWINO, MANISPAA YA MOROGORO. (Anaingia kidato cha pili) Wakitumia mtaala mpya, ukianza rasmi mwaka 2025.
Mtoto wangu alichagua mkondo WA biashara, baada ya kupewa elimu ya kuchagua Masomo na wanataka nini wakiwa wakubwa.

Mwaka mzima (kidato cha Kwanza) HAKUWAHI kusoma somo la BIOLOJIA kwa sababu si somo la lazima kwa MUJIBU wa mwongozo WA mtaala mpya

Katika Hali isiyo ya kawaida, kijana wangu amekuja ananiambia wamwambie wamesajiliwa kufanya mtihani WA TAIFA kwa somo la BIOLOJIA.

Namuuliza imekuwaje? Anasema mwalimu wao amewaambia MFUMO WA USAJILI WA BARAZA LA MITIHANI, ndiyo sababu.

Nimeenda shule, kupata ufafanuzi, nimeamgiwa NI KWELI WAMEWASAJILI WATOTO WOTE KATIKA SOMO LA BIOLOJIA KWA SABABU MFUMO WA NECTA UNAKATAA KUSAJILI MASOMO KWA KUFUATA MTAALA MPYA!

Najiuliza, hii si kuwafelisha watoto kwa makusudi? Yaani mtoto ambaye HAKUWAHI kusoma somo Hilo kwa mwaka mzima, analazimishwa kusoma kidato cha mtihani na bila utayari wake.

Je, ni vigumu kwa NECTA kurekebisha mfumo ili uendane na matakwa ya mtaala mpya, na badala yake ni rahisi kumuumiza mwanafunzi kwa kumharibia Kesho yake?

Baraza la MITIHANI (NECTA) tunaomba ufafanuzi wa Jambo hili nyeti kabisa!

Mzazi WA mwanafunzi,
Kata ya CHAMWINO
Manispaa ya Morogoro.
 
Ndugu elimu ya msingi ilikufa rasmi baada ya kuingiza siasa.....
 
Maana ake mtaaluma hakuelewa mtaalam unataka nini
 
Mtoto wangu anasoma shule ya sekondari MGULASI, iliyopo kata ya CHAMWINO, MANISPAA YA MOROGORO. (Anaingia kidato cha pili) Wakitumia mtaala mpya, ukianza rasmi mwaka 2025. Mtoto wangu alichagua mkondo WA biashara, baada ya kupewa elimu ya kuchagua Masomo na wanataka nini wakiwa wakubwa. Mwaka mzima (kidato cha Kwanza) HAKUWAHI kusoma somo la BIOLOJIA kwa sababu si somo la lazima kwa MUJIBU wa mwongozo WA mtaala mpya Katika Hali isiyo ya kawaida, kijana wangu amekuja ananiambia wamwambie wamesajiliwa kufanya mtihani WA TAIFA kwa somo la BIOLOJIA. Namuuliza imekuwaje? Anasema mwalimu wao amewaambia MFUMO WA USAJILI WA BARAZA LA MITIHANI, ndiyo sababu. Nimeenda shule, kupata ufafanuzi, nimeamgiwa NI KWELI WAMEWASAJILI WATOTO WOTE KATIKA SOMO LA BIOLOJIA KWA SABABU MFUMO WA NECTA UNAKATAA KUSAJILI MASOMO KWA KUFUATA MTAALA MPYA! Najiuliza, hii si kuwafelisha watoto kwa makusudi? Yaani mtoto ambaye HAKUWAHI kusoma somo Hilo kwa mwaka mzima, analazimishwa kusoma kidato cha mtihani na bila utayari wake. Je, ni vigumu kwa NECTA kurekebisha mfumo ili uendane na matakwa ya mtaala mpya, na badala yake ni rahisi kumuumiza mwanafunzi kwa kumharibia Kesho yake? Baraza la MITIHANI (NECTA) tunaomba ufafanuzi wa Jambo hili nyeti kabisa! Mzazi WA mwanafunzi, Kata ya CHAMWINO Manispaa ya Morogoro.

mshauriane na mtoto afungue kesi mahakamani ,amshitki ,mkurugenzi wa halmashauri(school owner),wizara ya elimu,kamishina wa elimu tz na nk Iwe fundisho mana mtoto kaathiriwa na uwongo wa mitaala yao
Mbona ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi na watoto wetu? Hakuna chama cha kupigania masuala ya wanafunzi? (Kama ilivyo kwa walimu). Hili suala linahitaji nguvu ya wanafunzi au wazazi kwa pamoja. Sio ishu ya mtu mmoja mmoja.
 
Mtoto wangu anasoma shule ya sekondari MGULASI, iliyopo kata ya CHAMWINO, MANISPAA YA MOROGORO. (Anaingia kidato cha pili) Wakitumia mtaala mpya, ukianza rasmi mwaka 2025.
Mtoto wangu alichagua mkondo WA biashara, baada ya kupewa elimu ya kuchagua Masomo na wanataka nini wakiwa wakubwa.

Mwaka mzima (kidato cha Kwanza) HAKUWAHI kusoma somo la BIOLOJIA kwa sababu si somo la lazima kwa MUJIBU wa mwongozo WA mtaala mpya

Katika Hali isiyo ya kawaida, kijana wangu amekuja ananiambia wamwambie wamesajiliwa kufanya mtihani WA TAIFA kwa somo la BIOLOJIA.

Namuuliza imekuwaje? Anasema mwalimu wao amewaambia MFUMO WA USAJILI WA BARAZA LA MITIHANI, ndiyo sababu.

Nimeenda shule, kupata ufafanuzi, nimeamgiwa NI KWELI WAMEWASAJILI WATOTO WOTE KATIKA SOMO LA BIOLOJIA KWA SABABU MFUMO WA NECTA UNAKATAA KUSAJILI MASOMO KWA KUFUATA MTAALA MPYA!

Najiuliza, hii si kuwafelisha watoto kwa makusudi? Yaani mtoto ambaye HAKUWAHI kusoma somo Hilo kwa mwaka mzima, analazimishwa kusoma kidato cha mtihani na bila utayari wake.

Je, ni vigumu kwa NECTA kurekebisha mfumo ili uendane na matakwa ya mtaala mpya, na badala yake ni rahisi kumuumiza mwanafunzi kwa kumharibia Kesho yake?

Baraza la MITIHANI (NECTA) tunaomba ufafanuzi wa Jambo hili nyeti kabisa!

Mzazi WA mwanafunzi,
Kata ya CHAMWINO
Manispaa ya Morogoro.
Tanzania kila kitu ni kujaribu saivi wametoa Biolojia kama somo la lazima wameweka biashara kama somo la lazima
 
pale unakabidhi western Christian education system kwa muslims, hicho ndicho unachopata, chaos, hawa watu hakuna kitu wanajua, sasa naelewa mwalimu Nyerere alichamaanisha kwa nchi going to the dogs ...
 
Kwa jinsi somo la Biology lilivyo muhimu hivi inakuwaje wanasiasa wanasema lisiwe somo la lazima?

Cha ajabu somo la Historia ya Tanzania ndio muhimu na lazima kusoma

Hii nchi ina usenge mwingi sana kmmmk

JamiiCheck
Masomo yote waliyoyaweka OPTIONS ndiyo yenye umuhimu sasa!eti ENGLISH LANGUAGE siyo Option ila BIOLOGY na History ni OPTIONS!!
 
mshauriane na mtoto afungue kesi mahakamani ,amshitki ,mkurugenzi wa halmashauri(school owner),wizara ya elimu,kamishina wa elimu tz na nk Iwe fundisho mana mtoto kaathiriwa na uwongo wa mitaala yao
Kwa hakika inatia hasira sanaaa, wanaharibu future za watoto wetu,sasa fikiria,tangu form one hajawahi kusoma BIOLOJIA, amefuka kidato cha mtihani wanamwambia anasajiliwa kufanyia mtihani somo ambalo hajawahi kulisoma, inawezekanaje?
 
Ni Tanzania tu ndio mfumo unaweza kumtambua mhalifu lakini sio kumwezesha mwananchi.

Na wanavyosema mfumo huku wakijmwambafai utafikiri ni sayansi ya kupasua ubongo!
Najiuliza, inawezekanaje MTAALA UMEBADILIKA lakini mfumo wa USAJILI WA wanafunzi kupitia Baraza la MITIHANI (NECTA) bado hauendani na matakwa ya mtaala mpya?
 
Back
Top Bottom