Mtaa umebalance shobo

Mtaa umebalance shobo

Los santos

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1,190
Reaction score
2,652
Zile tambo za kuita vyuo vingine ni college, kata naona mtaa umejua kubalansi shobo.

Yani kitaani kwakweli ni ulimwengu mwingine kabisa aisee kwa kifupi meza Huwa inapinduka vibaya sana aisee. Haijalishi ulisoma shule au chuo Gani hapa ndani ya tz ila mtaani kunaitaji hustle zake za kipekee Ili uweze ku survive

Yaani kwa kifupi ni survival of the fittest
 
aaah mida ya kukaa kijiweni kuwasema graduates hii majobless tukikutana tunawakandia sana wenzetu qmmae
Aisee mim nimemaliza university 2016,2017 nikaingia jeshini aisee japo safari yangu ilikuwa ngumu sana ,so sio jobless na hapa kuna jambo limemkuta ndugu yangu huko kwenye masuala ya job ndo nimechoka
 
Tuendelee kujidanganya. Hadi sasa hatujapata stry ya msomi aliyejipambania na akafa kisen*e.

Tupambane ndugu zangu. Vijana mnaowaona wana flash maisha woote wana degree iwe mtandaoni au mtaani tu. Na hawakai vijiweni. Wachache sana wapo wapo tu. Doto magari laabda. Ila wengine wote wamesoma au tumesoma na elimu imetukomboa.

Tuendelee tu kujidanganya
 
Tuendelee kujidanganya. Hadi sasa hatujapata stry ya msomi aliyejipambania na akafa kisen*e.
Tupambane ndugu zangu....
Nadhani hujaelewa topic vizuri ,mada iliyopo ni kwamba kuna watu walikuwa wanajivunia kusoma chuo Fulani na kucheka vyuo vingine ,ila mtaani kwenye soko la ajira lililotawaliwa na connection yaani "who you know than what you know" mambo yamekuwa tofauti kbsa ,yani mtaani ni ulimwengu mwingine kbsa ambapo haijalishi ulisoma chuo Gani lakini linapokuja swala la ajira mambo ni tofauti mpaka unabaki kushangaa
 
Alafu msipanic mim mwenyewe ni graduate na sijaandika Uzi kuwaonea wivu waliosoma ,mim tayarni graduate & Nina mawe yangu mawili begani ila naongelea tu uhalisia uliopo mtaani manake hata mim nilihustle
 
Zile tambo za kuita vyuo vingine ni college,kata naona mtaa umejua kubalansi shobo...
Nchi ni maskini, watu wamesoma vzr tu, tatizo ni nchi aina mipango kwa ajili ya wasomi wetu,

MTU kasoma udakitari, apewe hospitsri akafanye maajabu, anaachwa kitaa, na, jamii,inataka aendeshe bajaji! Degree ya miaka, mitano! Unamiacha dokta bila kazi!

Bongo ni ya Ki K saana
 
Alafu msipanic mim mwenyewe ni graduate na sijaandika Uzi kuwaonea wivu waliosoma ,mim tayarni graduate & Nina mawe yangu mawili begani ila naongelea tu uhalisia uliopo mtaani manake hata mim nilihustle
Kwa sasa elimu bila ajira watasoma wachache, wengi wanaona ni kupoteza mda
 
Halafu kuna sisi sasa ambao hata form4 hatujakanyaga ujanja ujanja tu
 
Nadhani hujaelewa topic vizuri ,mada iliyopo ni kwamba kuna watu walikuwa wanajivunia kusoma chuo Fulani na kucheka vyuo vingine ,ila mtaani kwenye soko la ajira lililotawaliwa na connection yaani "who you know than what you know" mambo yamekuwa tofauti kbsa ,yani mtaani ni ulimwengu mwingine kbsa ambapo haijalishi ulisoma chuo Gani lakini linapokuja swala la ajira mambo ni tofauti mpaka unabaki kushangaa

Sawa sasa ndo ukasome Amazon College kweli?
 
UDSM,SUA,MUHANS, hivi vyuo vilikua vinagombaniwa sana sijui skuiz maana vyuo vyenyew vinagombania wanafunzi, ila hayo yote ili utoboe muhimu connection skuiz.
 
Wivu unawasumbua tu.. hakutakuwa sawa historia katika maisha imeshaandikwa hautakuja kuwa kama yeye .. kutokusoma chuo alichosoma yeye kisikufanye uandike haya. Hukusoma chuo kama chake sababu uwezo mdogo n.k

Huwezi kuwa kama yeye na huwezi kuwa

Kila mtu aishi maisha yake.
Mwisho kila mtu ana maisha yake hapa Duniani sio sawa kujilinganisha na wengine
 
Alafu msipanic mim mwenyewe ni graduate na sijaandika Uzi kuwaonea wivu waliosoma ,mim tayarni graduate & Nina mawe yangu mawili begani ila naongelea tu uhalisia uliopo mtaani manake hata mim nilihustle
Sasa hasira za nn km hukusoma chuo kikuu polee yako, ulisoma taasisi ya elimu ya juu au chuo cha katii?
Kunywa maji meng afu upumzike
 
Back
Top Bottom