Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,652
- Thread starter
- #21
Yani Hii changamoto sasa ndo nayoisemea ...Nchi ni maskini, watu wamesoma vzr tu, tatizo ni nchi aina mipango kwa ajili ya wasomi wetu,
MTU kasoma udakitari, apewe hospitsri akafanye maajabu, anaachwa kitaa, na, jamii,inataka aendeshe bajaji! Degree ya miaka, mitano! Unamiacha dokta bila kazi!
Bongo ni ya Ki K saana