Hii haina haja ya kuibinafsisha kwa sasa, ikatwe tu kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.
Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.
Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kutakuwa na mabwawa kila mkoa?Hii haina haja ya kuibinafsisha kwa sasa, ikatwe tu kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Hii comment yako wallah iwekewe laminationHii haina haja ya kuibinafsisha kwa sasa, ikatwe tu kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Ni bora tubinafsishe nchi nzima kama ndo akili zetu zinakuwa hivi daaah akili gani hzi.... nipen tanesco niiendeshe huyu analiyeanzisha uzi anaupungufu wa umeme mwilini .....yaan mvua zinanyesha na kuna mgao...mvua ikikata kuna ukameTANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.
Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.
Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
tutatumia hata visima na mabomba
Sasa we unaona kati ya bandari na TANESCO ipi ilifaa ibinafsishwe? Maana TANESCO ndo wameshindikana, unaleta uzalendo wakati unaona huduma mbovu na serikali imeshindwa miongo zaidi ya 5 hamna unafuuni bora tubinafsishe nchi nzima kama ndo akili zetu zinakuwa hivi daaah akili gani hzi.... nipen tanesco niiendeshe huyu analiyeanzisha uzi anaupungufu wa umeme mwilini .....yaan mvua zinanyesha na kuna mgao...mvua ikikata kuna ukame
hapana tanesco inatugusa moja kwa moja kuliko bandari....au ni kwaasababu niliishia la3 c??Sasa we unaona kati ya bandari na TANESCO ipi ilifaa ibinafsishwe? Maana TANESCO ndo wameshindikana, unaleta uzalendo wakati unaona huduma mbovu na serikali imeshindwa miongo zaidi ya 5 hamna unafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
kinu cha nyuklia kinahitajika habari ya umeme wa maji wa mawazo ya ujima uishie kwenye bwawa la nyerere.
Sekta inayokugusa moja kwa moja si ndo inayotakiwa iwe bora maana inagusa kila mtu na ina uhitaji mkubwa? Haya wameshindwa,kwahiyo tuwashe mishumaa na uzalishaji upungue?hapana tanesco inatugusa moja kwa moja kuliko bandari....au ni kwaasababu niliishia la3 c??
😷🤕Sekta inayokugusa moja kwa moja si ndo inayotakiwa iwe bora maana inagusa kila mtu na ina uhitaji mkubwa? Haya wameshindwa,kwahiyo tuwashe mishumaa na uzalishaji upungue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwawa la Nyerere wameshashindwakinu cha nyuklia kinahitajika habari ya umeme wa maji wa mawazo ya ujima uishie kwenye bwawa la nyerere.
Du, bibi leo dish limeyumbaHii haina haja ya kuibinafsisha kwa sasa, ikatwe tu kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Afadhali hata iuzwe, au makampuni mengine yaruhusiwe yazalishe umeme kuwe na ushindani, si unaona kama mitandao ya simu wanavyoshindana kwa kutoa huduma kila mtu anaboresha apate soko,..TANESCO wamekaa wenyewe maana hamna mbadalaMm nashauri TANESCO uzwe tu.
Hapana hapa cha kufanya ni kufukuza kila siku hadi tupate cream na tutimize malengo yetu na kwa wale waajiriwa tukihisi wala rushwa basi tuhakikishe hata wakienda mahakamani tukiwakuza tumpgie simu hakimu au judge tumbwage hakuna namna ya kupambana na mafisadi zaidi ya udikteta ukifuata sheria fisadi humuwezi, at some point magufuli aliwezaaTANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.
Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.
Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Naunga MkonoTANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni mbovu kuliko na ya mwisho.
Kukiwa hamna mvua wanasema mabwawa yamekauka,,,kukiwa na mvua nayo matatizo mda wote wao hawana solution miaka nenda rudi, kila Rais anamaliza awamu yake TANESCO ni vile vile haijawahi kubadilika au kuleta unafuu, mawaziri wa nishati wabadilishwa lakini hamna mabadiliko.
Kama BANDARI ilibinafsishwa basi na TANESCO ifuate, hatuna cha kupoteza maana hawajawahi kutoa huduma ya kuaminika,ni ukweli usiopingika serikali imeshindwa kuboresha TANESCO ili umeme uwepo mda wote
Lakini wamefanya sana timua timua na hamna unafuuHapana hapa cha kufanya ni kufukuza kila siku hadi tupate cream na tutimize malengo yetu na kwa wale waajiriwa tukihisi wala rushwa basi tuhakikishe hata wakienda mahakamani tukiwakuza tumpgie simu hakimu au judge tumbwage hakuna namna ya kupambana na mafisadi zaidi ya udikteta ukifuata sheria fisadi humuwezi, at some point magufuli aliwezaa
Hiyo nayo ni sahihiWaruhusu ushindani kutoka Kwa mashirika binafsi na watu wenye uwezo wa kuzalisha then wananchi wenyewe waamue kutumia umeme waa shirika gn