Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,552
- 30,784
Ni Kama Tumewadharau Kwa Kujua Kua Mnakabiliwa Upungufu Mkubwa Wa Fikra Pevu Ila Tumeona Jinsi Mods Wanavyo Wasaidia Kupigia Depe Upuuzi Wenu Kwa Kuwacha Huu Uzi Uendelee Kutawala Humu
Kwa Kabisa Kwa Niaba Ya Familia Ya Mzee Msuya Tunasikitishwa Na Kulaani Kwa Nguv Zote Matumizi Holela Ya Mtandao Yenye Nia Ya Kubadili Taswira Ya Nchi Hii Inashangaza Sana Mtu Kujibu Tuhuma Kwa Kumtuhumu Alokutuhumu.Genge Hili Lenye Nia Ya Kumsafisha El Limekuwa Na Kawaida Ya Kumtuhumu Kila Anaye Mtuhumu Bwana Wao Bila Kujua Kuwa Hayo Hayawezi Kuwa Maji Ya Kumtakasa Bwana Wao
Kuhusu Mzee Msuya Kuhusishwa Na Kifo Cha Mpendwa Wetu Edwad Moringe Sokoine Hii Ni Jinai Wenye Ushahidi Mahakama Ziko Wazi Wanaweza Kwenda Huko Kama Wanataka Haki Ipatikane Na Kuonekana Kuwa Ni Haki
Kuhusu Bint Alopotea Tuelezeni Kuwa Kapotelea Ofisini Kwa Msuya Nyumbani Kwake Ao Mikononi Mwake Kama Hamna Data Tafuten Namna Ya Kumsaidia Mkuu Wenu Kwenda Ikulu Sio Kumchafua Mzee Wetu Aloipigania Nchi Yetu.
hii inaonyesha jinsi gani unavyokaribia kutuaminisha kuwa msuya alimua kipenz chetu. je mbona hujamjibu alitoa hoja kwamba sokoine walikataza asipimwe kama amekufa na yule aliyesema mwili ulikuwa na matundu? unasemaje basi kuhusu secretary wake aliyepotea ghafla? acha kuropoka povu tuliza akili jibu hoja.
We wa Nyika na Vome!!
Kwani veve mthemaji va mdhee Mthuya!!!!!
Aseme mwenyewe thiyo nyie viguu na njia.sio tu msemaji bali hata sasa niko siting room kwake tunajianda kwa chakula cha jioni na ananipatia historia nzur ya mapinduzi ya zenj. akimaliza nitapost kwa faida yenu mnaopotosha historia kwa faida ya fisadi wenu
Mpwa umenifurahisha sana sana
Aseme mwenyewe thiyo nyie viguu na njia.
Kwani alipomshambulia Lowassa ulikuwapo!
Huyo saizi ya wananchi wenye uchungu!Mzee Hawez Kujibizana Na Nyie Wapiga Mboyoyo Wa Fisad Mgonjwa Mana Hata El Sio Saiz Yake Ukiweza Mfufue Nyerere Watajibizana Hoja Kwa Hoja
Ukiambiwa uthibitishe kuwa mwili ulikuwa na matundu ya....utakubali!!? Au wewe ndiye ulihusika kwenye Postmortem. Halafu Je mlikuwa wapi kumuuliza Julius maana ndiye alikuwa Mkulu kabisa. Je ni nani alikuwa IGP, Intelligence chief , Home Affair minister nk.
Nasema mna imani za kichawi kwa kuwa kati ya hoja zenu eti kwavile alikuwa anapata mauzauza.!!! Sasa hii inahusika vip.!!!? NDIO MAANA NASEMA TOKENI HUKO kwenye fikra za ajabu ajabu.
Otherwise mpo hapa KISIASA ZAIDI. but be very careful unapoamua kumchafua mtu huwa inarudi na wewe ipo siku utahusishwa na kifo cha mtu hata kama hujahusika. ACHENI SIASA MAJI TAKA
Huyo saizi ya wananchi wenye uchungu!
Ni jamaa mwoga ka kunguru , kama ana mshipa si ajibu tuhumuma ?
Ana muachia kiguu na njia ka wewe kujibu tuhuma wakati mwenyewe yupo?
Tuyaachiye ya fisadi yule, ye ajibu tu secretary wake kamzika wapi na Sokoine ilikuwaje! na wewe si umeshashiba?
Hiyo ndo saizi yako , sbiri njaa yako ikurudishe Mwanga.
Ni Raisi Lowassa atakuja kuuliza. Ndio maana CDM- Cleopa David Msuya...anaweweseka????Nafikili wakina msuya mtakuwa mnawaonea. Muulizeni aliyekuwa raisi wakati ule.ndiye mwenye mujibu. Kwani kama Msuya alishiriki kwanini hakuadhibiwa na raisi wetu mpendwa wakati ule. Au kwanini uchunguzi haukufanyika kwa amri ya raisi wa wakati ule. Raisi ndiye top wa kila kitu.
sio tu msemaji bali hata sasa niko siting room kwake tunajianda kwa chakula cha jioni na ananipatia historia nzur ya mapinduzi ya zenj. akimaliza nitapost kwa faida yenu mnaopotosha historia kwa faida ya fisadi wenu
Duh kweli uchaguzi umekaribia
Tujiandae kusikia mengi
Naomba usiweweseke. Ukitulia inaleta sense kuliko unavyotaka ku punic. Kwani wewe unajihami nini? Vifo vingapi vya watu duniani vinachunguzwagwa baada ya miaka mingi kupita? Tunapoulizana yahusuyo kifo cha sokoine wewe hutaki yaongelewe, kwa sababu gani?
Sasa nani anachafuliwa hapa na nani anamchafua? Nimekuambia nani alimuua sokoine ama umenisikia nimesema alikufa kifo cha namna gani?
Acha watu wajadiliane. Hakuna ubaya katika hilo. Lakini ukweli utasemwa siku zote kwamba Sokoine hakupimwa morogoro hospital kujua kama alifika pale ameshakufa ama alikuwa hai!. Unajuaje kama sikuwepo Morogoro wakati Dr. Materu anaambiwa hana sababu ya kupima?
Jifunze kuwa msikivu kuliko kubisha masual usiyoyajua!.
sio tu msemaji bali hata sasa niko siting room kwake tunajianda kwa chakula cha jioni na ananipatia historia nzur ya mapinduzi ya zenj. akimaliza nitapost kwa faida yenu mnaopotosha historia kwa faida ya fisadi wenu
Huyo saizi ya wananchi wenye uchungu!
Ni jamaa mwoga ka kunguru , kama ana mshipa si ajibu tuhumuma ?
Ana muachia kiguu na njia ka wewe kujibu tuhuma wakati mwenyewe yupo?
Tuyaachiye ya fisadi yule, ye ajibu tu secretary wake kamzika wapi na Sokoine ilikuwaje! na wewe si umeshashiba?
Hiyo ndo saizi yako , sbiri njaa yako ikurudishe Mwanga.