Msuto wa Snowhite na FP

Those were the best two minutes that she's ever had in her life.

Hapan chezea anakonda la amazon....utang'atwa!

ulikuwa unamkuna tu na kumwachia ma stress,kwa bishanga kafika mpaka anatafuna nywele dadadadaddeki ccm hoyeee,dushelele la ukweli midundo moto,kama unabisha muulize Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
ulikuwa unamkuna tu na kumwachia ma stress,kwa bishanga kafika mpaka anatafuna nywele dadadadaddeki ccm hoyeee,dushelele la ukweli midundo moto,kama unabisha muulize Kongosho.

Ukiona manyoya ujue keshaliwa....ukiona damu ujue keshachinjwa....na ukiona mwenye kulichonga sana domo ujue hamna kitu huyo.
 
Ha ha ha ha, umempatia kweli mamndenyi kwa kazi ya ungariba, tena anakata kwa kucha la dole gumba lake
Limekomaa kama nini


Najua wewe ni Mzee wa Citibank ndio maana niweka hafla hii Masaki kwa wajanja

Angekuwa Asprin ningeweka Tandale

Unantaka?
 
Me namshauri amchague Zombie!

ATTENTION!!!!!!!!!! Kongosho is :confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:.....................hajui achague lipi kati a celibacy, zombie, msuto na maandilizi ya harusi.
PLEASE ASSIST HER ON THIS...........
 
Last edited by a moderator:
Mie kazi yangu fitna, manake nna kadi ya uanachama ya yanga. Nimfitini nani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…