Msusi ananuka...

Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.

Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.

Maana nautaka urembo.

Ananuka nini?...na kwanini haukumwambia mwenyewe pale pale na badala yake unakuja kumsema hapa jamvini?
Sasa hapo mwenzio atajirekebisha vipi wakati wewe hujamwambia ili ajue tatizo lake?
 
Wasusi wa kitaa noma sana ,ila saluni wanakuwaga wasafi... alafu hawa wanaonuka ni wataalam sana wa staili nzuri ,kazi kwako sasa ukitaka kupendeza unuse shombo mpaka basi.....

Daah! nimecheka sana...kweli JF ni noma
 
Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.

Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.

Maana nautaka urembo.

Je, mmeamini kuwa wanaume tunawavumilia kwa mengi?? We kusukwa tu tena umeegemea juu ya nguo umekuja kushtaki JF, pata picha yule anayefunua hiyo chupi na kumpanua anasikia nini??
 
Mi nashindwa kuelewa.

Yule ni mwanamke mwenzio.

Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.

Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.

So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.

Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.

Women please!

Ahsante...nimeipenda hii
 
pichu inanuka au inanukia? oooghhh i am crazy na hizo harufu
 
Wasusi wa kitaa noma sana ,ila saluni wanakuwaga wasafi... alafu hawa wanaonuka ni wataalam sana wa staili nzuri ,kazi kwako sasa ukitaka kupendeza unuse shombo mpaka basi.....

he he he he true point sema hiyo smell kama umekunywa moja baridi,moja moti unaweza rudisha chenji
 
mimi sisuki ila nina uzoefu na mabeki 3, kapika chakula kitamu sawa, nyumba ni safi sawa, watoto wako vizuri sawa, lakini kajisahau mwenyewe!!! huwa nawatimuaga wakaoge na kujiswafi
 
Mi nashindwa kuelewa.

Yule ni mwanamke mwenzio.

Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.

Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.

So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.

Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.

Women please!

nimekuelewa Karucee ila ni tabia ya baadhi ya wasusi wengi.ndo mana mwingine hi stail anaweka miguu pemben
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom