Msumbiji imekumbwa na maradhi yapi?

Mzee Mohammed usihuzunike sana Mwanadamu hubadilika, Wana usalama wetu wapo kazini kuangalia the main source Muda utatoa majibu sahihi Tuwe na subira tu japo ni Sad sana
Daniel ahsante sana.
Pamoja na kutahadharisha kuwa kile kilikuwa ni kizazi kilichoshuhudia na hiki ni kizazi kinachosimuliwa (ndo maana kuna mmoja kasema ni hadithi) nakuwekea picha ya shemeji yako niliyoichukua na kisimu changu cha mchina tarehe 17 january 2017 cape town. Uzee haupigi hodView attachment 474634
 
Mwelewa,
Jana rafiki yangu mmoja kanipigia simu baada ya kusoma hii post.
Kanambia nifike Chang'ombe Maduka Mawili nielekee Sigara Club
nitakutana na mtaa unaitwa Maji Maji.

Hapo kuna nyumba ya National Housing ina kibao nje kinasema
kuwa nyumba hiyo akiishi Marcelino Dos Santos.
Ni kweli mkuu,nyumba hiyo anaishi jamaa wa kiarabu na familia yake,kwa nje kuna vijana wanauza vitanda vya chuma.Mwaka jana Joachim Chisano na maafisa wa usalama wabTanzania na Msumbiji waliitembelea nyumba hiyo.
 
Jumbe unaweza kunipikia picha hiyo nyumba?
 
Back
Top Bottom