Mtaka yote
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 136
- 103
,Mamlaka ya mawasiliano Tanzania chini ya mwongozo kwa vyombo vya habari,inasema vyombo vya habari havitaruhusiwa kutangaza tafiti za kukubalika ama kutokubalika kwa vyama ama wagombea zikibaki siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura!hivyo Kutoa matokeo ya utafiti wa nani anaongoza kuelekea uchaguzi mkuu,mwisho trh 25.9.2015 ,na hata zile tafiti zitakazotolewa kama waliohojiwa hawazidi 1000,chombo kinatakiwa kusema waliohojiwa ni chini ya watu 1000,sheria inakataza kuleta mgeni kwenye kipindi na kuanza kuongelea mambo ya chama kingine,akija mgeni mmoja kutoka chama kimoja,aongelee masuala ya chama chake tu,mfano akiitwa mtu kwenye ki[pindi kutoka Chadema,haruhusiwi kuzungumzia masuala ya CCM,azungumzie masuala yake ya Chadema tu!.