Msumari kwa vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu

Mtaka yote

Senior Member
Nov 30, 2014
136
103
,Mamlaka ya mawasiliano Tanzania chini ya mwongozo kwa vyombo vya habari,inasema vyombo vya habari havitaruhusiwa kutangaza tafiti za kukubalika ama kutokubalika kwa vyama ama wagombea zikibaki siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura!hivyo Kutoa matokeo ya utafiti wa nani anaongoza kuelekea uchaguzi mkuu,mwisho trh 25.9.2015 ,na hata zile tafiti zitakazotolewa kama waliohojiwa hawazidi 1000,chombo kinatakiwa kusema waliohojiwa ni chini ya watu 1000,sheria inakataza kuleta mgeni kwenye kipindi na kuanza kuongelea mambo ya chama kingine,akija mgeni mmoja kutoka chama kimoja,aongelee masuala ya chama chake tu,mfano akiitwa mtu kwenye ki[pindi kutoka Chadema,haruhusiwi kuzungumzia masuala ya CCM,azungumzie masuala yake ya Chadema tu!.
 
sheria inakataza kuleta mgeni kwenye kipindi na kuanza kuongelea mambo ya chama kingine,akija mgeni mmoja kutoka chama kimoja,aongelee masuala ya chama chake tu,mfano akiitwa mtu kwenye ki[pindi kutoka Chadema,haruhusiwi kuzungumzia masuala ya CCM,azungumzie masuala yake ya Chadema tu!.
TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.

Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi
 
Ni sikio la kufa tu alisikii dawa,Marekani juzi kwenye mdahalo wagombea wa repablican walimponda sana obama na sera za democratic na ilikuwa live kwenye fox tv na nbc
 
Hiyo ni sheria ya Kikaburu.
Ukiulizwa suala la siasa unaongea siasa tena kwa upana na urefu wake.
kikomo kiwe uelewa wako tu.
Hii ya kuzuia watu kuongelea chama fulaniredioni au kwenye TV ni UDIKTETA.
Zaidi ni dalili za kushindwa kabla ya kuanza
 
Ni sikio la kufa tu alisikii dawa,Marekani juzi kwenye mdahalo wagombea wa repablican walimponda sana obama na sera za democratic na ilikuwa live kwenye fox tv na nbc

Tanzania is not a copy cat of what is done in America.Tanzania ni Tanzania na marekani ni marekani ndio maana tuna majina tofauti vinginevyo tungeitwa marekani
 
,Mamlaka ya mawasiliano Tanzania chini ya mwongozo kwa vyombo vya habari,inasema vyombo vya habari havitaruhusiwa kutangaza tafiti za kukubalika ama kutokubalika kwa vyama ama wagombea zikibaki siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura!hivyo Kutoa matokeo ya utafiti wa nani anaongoza kuelekea uchaguzi mkuu,mwisho trh 25.9.2015 ,na hata zile tafiti zitakazotolewa kama waliohojiwa hawazidi 1000,chombo kinatakiwa kusema waliohojiwa ni chini ya watu 1000,sheria inakataza kuleta mgeni kwenye kipindi na kuanza kuongelea mambo ya chama kingine,akija mgeni mmoja kutoka chama kimoja,aongelee masuala ya chama chake tu,mfano akiitwa mtu kwenye ki[pindi kutoka Chadema,haruhusiwi kuzungumzia masuala ya CCM,azungumzie masuala yake ya Chadema tu!.

Ninachofahamu sheria zote za nchi hii hutungwa na BUNGE. Je, hii sheria ni sheria namba ngapi ya Bunge? TCRA nayo siku hizi imekuwa Bunge!
 
MBOWE:"Tutabadili Sheria Zote Zinazominya Uhuru Wa Habari,Hadhara nk."
So TCR jipangeni kuaibika,
Mgombea CCM haizoki Ng'o!
Ukawa Oyeeeeeeee!Lowasa Raissssssssssssss!Inshalah Tutashinda Tu Kwa Msaada Wa Maanani!
TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.

Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi
 
TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.

Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi
Ikiwa hii imetoka TCRA inanishangaza kwa sababu najua TCRA they are professional and above this! Kwanza ulivyotafasiri Anti hate law si sahihi, unawexza kuongelea upande wako tu lakini kauli yako ikawa chonganishi kweli kweli kuliko anayesema mambo ya mtu mwingine. katika siasa za ushindani unawezaje kuongelea uzuri wako bila kuonyesha ubaya wa mshindani wako? halafu hilo la kutoa matokeo ya tafiti nalo ni la ajabu, wenzetu hutoa matokeo ya tafiti mpaka siku kura zinapigwa!! Ni nini kinaogopwa hapa mbona 2005, 2010 tulikuwa tunawekewa matokeo ya tafiti ambazo wengi tulijuwa zilikuwa zimepikwa, labda watueleze?
 
Kwanza kabisa napenda kujua utunzi wa sheria hii ulishirikisha wadau muhimu? lakini pia tunajua kamati ya fitna ya ccm inahaha sana kwa kila namna kuhakikisha watanzania wanabanwa haswa kwa upande wa haki yao ya kupata habari na tuna jua sio tcra ni hao wanao itwa "wakubwa" au wazee wa kitengo ndo wanaofanya hujuma hizi.........sasa ni vema wote wajue watanzania tumeshafanya uamuzi na tutamchagua mzee wa maaamuzi magumu kupitia ukawa lazima tuwanyooshe magamba mwaka huu
 
TCRA wako sahihi
Nchi za wenzetu wengine wana sheria kabisa inaitwa ANTI HATE LAW hii inazuia kuongelea negatively mambo ya mtu mwingine.Mfano wewe ni mkristo unatakiwa uongelee tu biblia usiguse kurani.Ukiwa mwislamu uongelee tu kurani usiguse biblia na UKiwa CHADEMA uongelee tu mambo ya CHADEMA na sio ya CCM.TCRA wako sahihi.Kila mmoja anatakiwa kunadi sera zake na sio sera au mambo ya chama kingine.

Vyama vya upinzani havijazoea kunadi sera vimezoa kuvurumisha matusi kwa chama kingine tu.Kunadi sera hawajui na hawana uzoefu kuanzia ngazi ya chini hadi juu.TCRA inachofanya ni kuwarudisha kwenye mstari ili wanadi sera zao wananchi wazijue badala ya matusi

Unatia huruma kujiona kwamba wengine hawajui, hawana uzoefu. Bali ccm. Hivi kauli ya "ushindi ni lazima" hii ni kinadi sera? Kauli ya "bao la mkono" ni sera? Kauli ya "watakiona cha mtemakuni" hapo pana sera? Ni kwanini mnapenda kujiweka mbele mkijinadi ujuaji wakati hamna kitu mnajua..
 
Hahahaaaa mwaka huu sheria watazitunga kila wakilala usingizi maaana wanakitu kinaitwa dhoofu ini hali....
 
Ikiwa hii imetoka TCRA inanishangaza kwa sababu najua TCRA they are professional and above this! Kwanza ulivyotafasiri Anti hate law si sahihi, unawexza kuongelea upande wako tu lakini kauli yako ikawa chonganishi kweli kweli kuliko anayesema mambo ya mtu mwingine. katika siasa za ushindani unawezaje kuongelea uzuri wako bila kuonyesha ubaya wa mshindani wako? halafu hilo la kutoa matokeo ya tafiti nalo ni la ajabu, wenzetu hutoa matokeo ya tafiti mpaka siku kura zinapigwa!! Ni nini kinaogopwa hapa mbona 2005, 2010 tulikuwa tunawekewa matokeo ya tafiti ambazo wengi tulijuwa zilikuwa zimepikwa, labda watueleze?

Sheria ya habari, sheria ya takwimu a nyingine za zilipitishwa bungeni mwishoni mwishoni wapinzani walipinga lakini walizomewa hadi wakatoka nje na raisi Alisha saint sasa ndo zinaweza kazi rasmi. Kazi ipo kubwa tuu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom