Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,616
Wanatumia sheria gani kufikia uamuzi huo? TCRA ilikuwa inaendeshwa kwa ueledi sana, ila naona baada ya kuja huyu mkurugenzi mpya siasa zimekuwa nyingi sana. Hii ni aibu yetu sote watanzania. Inaonekana kama jamii tunakosa ustaarabu, busara na hekima ya kuendesha mambo yetu kwa usawa na haki. Ndo maana Kagame amesema kuongea demokrasia ni kitu kimoja lakini kutenda demokrasia ni kitu kingine.