Msuli wa chuo sio mgumu kiivo mdogo wangu...
Nakumbuka kabla sijaenda chuo my dad alikuwa ananiambia ye alikuwa hasomi weekends...nkamuona ananidanganya.
Nlipofika mm...nkagundua kumbe ni jambo la kawaida kabisa..naweza kukuambia tangu nianze chuo sijawahi kushika kitabu on a Sunday except labda siku ya mtihani (UE not test).
Ila uwe tayari ku attend all lectures n seminars...
Ol th best kijana..inawezekana.