arifu hivi huwajui mangosha kwa ujiko?? hiyo iringa kaandika makusudi......ukifika meatu pale mwanhuzi wasukuma wameandika baskeli zao AIR KARATU...wenyewe karatu ndio dream yao.....Yo Yo Bana, naona anapishana na ukweli.
Ni kweli kabisa Box la Mnyororo limeandikwa IRINGA.
Msukuma na Ukristo wapi na wapi?
arifu hivi huwajui mangosha kwa ujiko?? hiyo iringa kaandika makusudi......ukifika meatu pale mwanhuzi wasukuma wameandika baskeli zao AIR KARATU...wenyewe karatu ndio dream yao.....
ila totozi zao tu ndio nawasifu....nzuuuuri sana,adabu 100%......
bwahahahahaha sikatai totozi zenu mashallah sio kama totozi za kichaga miguu kama wakimbiza mwenge....
Jamani wengine sisi wageni hapa mjini, hili jina la Arifu naona unamwita Yo Yo na huyu SHEMALE Kongosho! ufafanuzi pls!!Arifu ushawahi fika Mwanza?
bwahahahahaha sikatai totozi zenu mashallah sio kama totozi za kichaga miguu kama wakimbiza mwenge....
bwahahahahaha sikatai totozi zenu mashallah sio kama totozi za kichaga miguu kama wakimbiza mwenge....
kwa hilo nakupinga live,watoto wa kisukuma wako poa sana siyo kama totoz za kichaga miguu ka spoke za baiskeli
Huyu mkenya Yo Yo ana vituko sana, naona Nyani Ngabu kimyaaa!! kweli wasukuma wameniacha hoi halafu pale kwenye baiskeli yake ana chupa ya maji safi ya kwenda kuchukulia maujiko kwenye Chagulaga
bwahahahahaha sikatai totozi zenu mashallah sio kama totozi za kichaga miguu kama wakimbiza mwenge....
Shaggy aliachanganyikiwa ati.....
wasukuma wamevamia mjini aiseee.....ila huyu kiboko maana baiskeli yake ina uzito wa tani 1