hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 596
Lakin aina mshaharaJamani kweli ubinadam kazi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asanteeLakin aina mshahara
hii picha ina mashaka na maswali mengi. kwani nani alikuwa anamnyoa nywele na kumkata kucha, naona kama kichwa chake kimenyolewa nywele muda si mrefu. au zilikuwa hazioti. au alimnyoa kwa juu juu? ilikuwaje?Nimeikuta hii habari Na Picha kwenye moja ya group la Whatsaap.
Haina Maelezo yanayojitoshereza zaidi ya kusema Baada ya Dada kugombana Na Kaka yake, ndo akamwaga mboga kuwa Kaka yake wakati anajenga hiyo nyumba, alijenga kichumba kidogo Sana, Na kumuweka Msukule wake ambapo alibakiza kisehemu kidogo Sana (Tundu)
Then akaendelea Na ujenzi mpaka kumaliza!
Siri ikajulikana majuzi baada ya Mdada kuropoka.......
Picha zinaonyesha hatua kwa hatua toka kuvunja mpaka kumtoa Msukule.View attachment 446633 View attachment 446634 View attachment 446636
Mbona maelezo ya kiingereza yanadai aliopolewa na jamaa jasiri kwenye kuta za kibambaza cha kanisa baada ya watu kukereka na sauti iliyotoka "pande'izo" lakini hakuna aliyejitokeza kujitoa mhanga hadi huyo jasiri alipojitolea kuvunja na kumropoa huyo "msukule sharobaro".Nimeikuta hii habari Na Picha kwenye moja ya group la Whatsaap.
Haina Maelezo yanayojitoshereza zaidi ya kusema Baada ya Dada kugombana Na Kaka yake, ndo akamwaga mboga kuwa Kaka yake wakati anajenga hiyo nyumba, alijenga kichumba kidogo Sana, Na kumuweka Msukule wake ambapo alibakiza kisehemu kidogo Sana (Tundu)
Then akaendelea Na ujenzi mpaka kumaliza!
Siri ikajulikana majuzi baada ya Mdada kuropoka.......
Picha zinaonyesha hatua kwa hatua toka kuvunja mpaka kumtoa Msukule.View attachment 446633 View attachment 446634 View attachment 446636
Mh, hii picha yako!!Nimeikuta hii habari Na Picha kwenye moja ya group la Whatsaap.
Haina Maelezo yanayojitoshereza zaidi ya kusema Baada ya Dada kugombana Na Kaka yake, ndo akamwaga mboga kuwa Kaka yake wakati anajenga hiyo nyumba, alijenga kichumba kidogo Sana, Na kumuweka Msukule wake ambapo alibakiza kisehemu kidogo Sana (Tundu)
Then akaendelea Na ujenzi mpaka kumaliza!
Siri ikajulikana majuzi baada ya Mdada kuropoka.......
Picha zinaonyesha hatua kwa hatua toka kuvunja mpaka kumtoa Msukule.View attachment 446633 View attachment 446634 View attachment 446636
Hii habari ina utata mwingi...katika hii link uliyotoa wanasema aliteleza akatumbukia hapo alipokutwa...na alikaa kwa siku tatu tu.

"He became trapped after slipping down into a tiny gap of less than a foot between the wall and a house, while playing alone near a cafe"
umesoma vizuri amekaa muda gani? Ila mleta habari eleza ni wapi hapo?Hii ni ngumu kuamin nimekataa kbs kucha nani alimkata,nywele nani alimkata na nani aliekuwa anamuogesha maana hana hata ukurutu waseme jingine hilo hapanaa
Hiyo ni balaa pia hiyo imejengeka sana huku kwetu magharibi.Nimeikuta hii habari Na Picha kwenye moja ya group la Whatsaap.
Haina Maelezo yanayojitoshereza zaidi ya kusema Baada ya Dada kugombana Na Kaka yake, ndo akamwaga mboga kuwa Kaka yake wakati anajenga hiyo nyumba, alijenga kichumba kidogo Sana, Na kumuweka Msukule wake ambapo alibakiza kisehemu kidogo Sana (Tundu)
Then akaendelea Na ujenzi mpaka kumaliza!
Siri ikajulikana majuzi baada ya Mdada kuropoka.......
Picha zinaonyesha hatua kwa hatua toka kuvunja mpaka kumtoa Msukule.View attachment 446633 View attachment 446634 View attachment 446636
Sasa labda utuelekeze kidogo.Ni waongo kama kweli uchawi upo kwa nini wasimshushe uncle tezi dume ili akiwa nje kutibiwa sisi huku tuweze kupumua kidogo
Hiyo nyumba yenyewe mbona.mbovu mbovu mie nilifikiri boonge la.hekalu kumne kibanda mweeNimeikuta hii habari Na Picha kwenye moja ya group la Whatsaap.
Haina Maelezo yanayojitoshereza zaidi ya kusema Baada ya Dada kugombana Na Kaka yake, ndo akamwaga mboga kuwa Kaka yake wakati anajenga hiyo nyumba, alijenga kichumba kidogo Sana, Na kumuweka Msukule wake ambapo alibakiza kisehemu kidogo Sana (Tundu)
Then akaendelea Na ujenzi mpaka kumaliza!
Siri ikajulikana majuzi baada ya Mdada kuropoka.......
Picha zinaonyesha hatua kwa hatua toka kuvunja mpaka kumtoa Msukule.View attachment 446633 View attachment 446634 View attachment 446636
Mimi hapa sikubali. Msukule gani umenyoa. Inamaana nywele hazioti.
Kamwagiwa ndoo ya maji kangaa ivyoo. Hii hakuna. Cant buy it.
Hukubali nn as hujahi ona mtu kipala na nywele hazioti?pia fuatilia sayansi inasema nn kama mtu haonani na mwanga as jua matokeo yake nn jb ni fupi tuMimi hapa sikubali. Msukule gani umenyoa. Inamaana nywele hazioti.