Msukule aliyesalimika baada ya ugomvi wa Kaka na Dada!

Hamna haja ya kumtafuta shetani. .bali ni sisi wenyewe tukiamua kuwa makatili kupindukia. ...
 
Mleta thread ameandika wazi, picha amekuta kwenye group la WhatsApp, na hakuna maelezo ya kujitosheleza.
Hivyo basi.........
Mleta uzi baada ya kuona hizo picha, amejazilizia maelezo yeye mwenyewe hadi yalipo jitosheleza
Jamani kweli ubinadam kazi
 
IMG-20161215-WA0007.jpg
IMG-20161215-WA0006.jpg
Mleta thread ameandika wazi, picha amekuta kwenye group la WhatsApp, na hakuna maelezo ya kujitosheleza.
Hivyo basi.........
Mleta uzi baada ya kuona hizo picha, amejazilizia maelezo yeye mwenyewe hadi yalipo jitosheleza
 
Mleta thread ameandika wazi, picha amekuta kwenye group la WhatsApp, na hakuna maelezo ya kujitosheleza.
Hivyo basi.........
Mleta uzi baada ya kuona hizo picha, amejazilizia maelezo yeye mwenyewe hadi yalipo jitosheleza
Hiii habari niliiona insta Na maneno sawiya alioleza mleta uzi
 
Hivi yule msukule wa Dar aliishia wapi aliyekutwa kwenye shimo
 
Ni waongo kama kweli uchawi upo kwa nini wasimshushe uncle tezi dume ili akiwa nje kutibiwa sisi huku tuweze kupumua kidogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kinumi Una matata....
Anyways
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
 
Hivi ile ya mmiliki wa mabasi ya MTEI iliishia wapi?!
 
A mysterious event happened at ONDO ODUDUWA STREET, ONDO STATE.
Nigeria

A boy of about 12yrs old was found in the middle of moulded laid blocks. It is beyond imagination, it is unexplainable, The boy sang for like 3 days before the people around discover it was a human and began to break the wall.
He was placed behind the walls alive, buried alive behind walls, used as a foundation for a church building, and yet how he survive is still a mystery, Passersby use to complain about hearing a strange noise behind the wall until one man has the courage to break the wall and behold...

Nimeikuta hii habari Na Picha kwenye moja ya group la Whatsaap.

Haina Maelezo yanayojitoshereza zaidi ya kusema Baada ya Dada kugombana Na Kaka yake, ndo akamwaga mboga kuwa Kaka yake wakati anajenga hiyo nyumba, alijenga kichumba kidogo Sana, Na kumuweka Msukule wake ambapo alibakiza kisehemu kidogo Sana (Tundu)
Then akaendelea Na ujenzi mpaka kumaliza!

Siri ikajulikana majuzi baada ya Mdada kuropoka.......
Picha zinaonyesha hatua kwa hatua toka kuvunja mpaka kumtoa Msukule.View attachment 446633 View attachment 446634 View attachment 446636
Sorry imebidi ni quote maelezo yenu wote wawili. Ila kupata ufafanuzi vizuri.

Mnazungumzia story moja,lakini maelezo yenu yanakinzana.

Mmoja anasema ugomvi wa kaka na dada ukasababisha dada kuropoka, huyu mwingine anasema msukule uliwekwa kwenye foundation ya church.

Which is which??
 
Mimi hapa sikubali. Msukule gani umenyoa. Inamaana nywele hazioti.

Kamwagiwa ndoo ya maji kangaa ivyoo. Hii hakuna. Cant buy it.
Uko vizuri ktk reasoning mkuu. Hata ukiangalia vidle kucha si ndefu.
 
Huyo msukule hana hata ukurutu? Au alitengewa na kabafu kwenye hako kachumba.
Kwa hiyo mkuu wewe tupe habari basi huyo ni nani na kwanini aliyekua hapo? Je misukule wapo au hawapo? Mimi kwa experience yangu ukikuta mtu anasema hakuna kitu uchawi au misukule yeye au ndugu zake anakua ndio kazi yake, sasa kwasababu ni kazi ya giza hapendi jamii iwe na ufaham na mambo hayo
 
Sorry imebidi ni quote maelezo yenu wote wawili. Ila kupata ufafanuzi vizuri.

Mnazungumzia story moja,lakini maelezo yenu yanakinzana.

Mmoja anasema ugomvi wa kaka na dada ukasababisha dada kuropoka, huyu mwingine anasema msukule uliwekwa kwenye foundation ya church.

Which is which??
 
A mysterious event happened at ONDO ODUDUWA STREET, ONDO STATE.
Nigeria

A boy of about 12yrs old was found in the middle of moulded laid blocks. It is beyond imagination, it is unexplainable, The boy sang for like 3 days before the people around discover it was a human and began to break the wall.
He was placed behind the walls alive, buried alive behind walls, used as a foundation for a church building, and yet how he survive is still a mystery, Passersby use to complain about hearing a strange noise behind the wall until one man has the courage to break the wall and behold...

sishangai kwanini tukio hili limetokea nchini nigeria.

niliwahi kumuuliza mtaalamu mshana jr . kuhusu ushirikina au uchawi na jamii za waafrika wenye pua pana (bantus) hususani wale ambao mababu zao wanachembechembe za misitu ya Kongo(Congo forest).

kwanini mambo haya hatuyasikii toka jamii za waafrika wafugaji(nilotic)?.

Anyway, mshana pita hivi mkuu.
 
Back
Top Bottom