Mstaafu mtarajiwa unajiandaaje na maisha ya kustaafu?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,673
3,322
Hili ni la kila mtu uwe umejiajiri au kuajiliwa.

Umri unakimbia sana itafika siku utastaafu iwe ni kwa hiari au kwa lazima.

Umejifunza nini kutoka maisha ya wastaafu waliotangulia?

Je umejiandaaje kuyapokea maisha ya kustaafu?

Nini unakifanya kiutofauti kuepuka kurudia makosa ya watangulizi wako?
 
Tafuta shamba kijijini na anza kuliendeleza pole pole. Kuweka pesa za kuanzia sawa lakini kumbuka pesa zinapungua thamani na zinakwisha lakini shamba thamani yake ni ya kudumu. Maandalizi haya yasikufanye ujinyime sana hadi ukose raha za dunia.
 
Kitu cha kufanya uzeeni ndiyo unakipraktizi sasa! Kama ufugaji, kilimo na nk, hapo mwanzoni utajua kipi unaweza na kina faida...ukistafu rasmi unajua kabisa kipi ufanye.
 
Back
Top Bottom