hakuna haja ya pupoteza wakati kujadili au kuchambua porojo na utoshaji wa hizo drama za kutafuta kiki, attention na public sympathyChambua kuhusu masuala ya utekaji na mauaji yaliyoshamiri nchini
tuliza mihemko mwenye akili 🐒Huna akili
Huyo ni mnafiki sanaMstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
Kwa hiyo anakula mema ya nchi?Anakula marupurupu yote ya mstaafu, mkewe mbunge na mke wa mstaafu ana stahiki nyingi tuu mwanawe mbunge na waziri, aseme nini mkwere wa watu?
Samia asingekuwa RaisAngekuwepo Magufuli
Wewe jamaa vipi? Au ndo unaamini kwenye ule msemo mchawi mpe mwanao akulelee??Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
Hizo hela anazokusanya anaenda kuzilia wapi?Huyu mnafiki hawezi kuongea chochote mpaka maslahi yake yaguswe!!
Rais tapeli kuwai kutawala Tanzania
Huyo naye anatakiwa atwaliwe tu, hana msaada! Genge lake ndio walioli-capture taifa.Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
Mkuu kushauri ni jambo moja na ushauri kufanyiwa kazi ni jambo lingine. Naamini ameshashauri!Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
Ulivyotaja tu Tanganyika nimeacha kusoma kumbe wale wale vibwengo, Kikwete ht kusoma huu uchafu hatathubutuMstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki