Mstaafu Kikwete, hebu shauri jambo

Mstaafu Kikwete, hebu shauri jambo

Aongee nini wakati yeye ndie kiongozi wa shadow government..au "futungo" kwa maneno ya pole pole.
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Huyo ni mnafiki sana
 
Anakula marupurupu yote ya mstaafu, mkewe mbunge na mke wa mstaafu ana stahiki nyingi tuu mwanawe mbunge na waziri, aseme nini mkwere wa watu?
 
IMG-20250502-WA0059 (1).jpg
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Wewe jamaa vipi? Au ndo unaamini kwenye ule msemo mchawi mpe mwanao akulelee??
Kama hujui behind the scenes, JK is well informed, consents and aligns well with ongoing chaos! Moreover, he might be the head henchman!
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Huyo naye anatakiwa atwaliwe tu, hana msaada! Genge lake ndio walioli-capture taifa.
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Mkuu kushauri ni jambo moja na ushauri kufanyiwa kazi ni jambo lingine. Naamini ameshashauri!
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Ulivyotaja tu Tanganyika nimeacha kusoma kumbe wale wale vibwengo, Kikwete ht kusoma huu uchafu hatathubutu
 
Mzee wa Msoga usimtegemee atakemea, yule ni mzee wa kujitoa - alitishwa tichwa kidogo akiwa Rais akaogopa kutupatia Kabiba mpya iweje leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom