Kufa kwa Mzee Kibao na hasara kubwa sana. Bora huyu msaliti wa nchi angekufa maana hana la maana.Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
Huyo ndio hana maana kabisa, katigharimu kwa mambo mengi sana huyo mzee kuanzia katiba mpya na mambo mengi hana uzalendo wowoteMstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
kakutapeli nini ?Huyo tapeli JK lazima atalipia UHUNI huu analolifanyia hili taifa
Mtanzania wa kawaida anachojali ni riziki yake kupatikana huwa hana habari na hizi harakati za wanaharakati.Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
gentleman,Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea
Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya
2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa
3 Suala la bandari kwako halijakufika
4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko
5. Ufisadi
Toka Mzee wetu utoe neno
Chambua kuhusu masuala ya utekaji na mauaji yaliyoshamiri nchinigentleman,
acha kusumbua wastaafu ambao wamefanya kazi zao kwenye taifa hili kwa weledi mkubwa bila kuingiliwa na mwingine nje ya uongozi wake.
Ni muhumu sana kuoa fursa na nafasi na kuacha wenye nafasi katika utumishi wa umma wawatumikie waTanzania wote kwa salama na amani.
mstaafu hawezi kupoteza wakati kushauri kuhusu habari za drama za upotoshaji
Kumshauri nyuki asusie mzingaMstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki