donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hiyo mbona huku kwetu kulipo na gesi ni kawaida tu
Bro unachosema ni kweli kabisa kwani nilipokwenda ufaransa nilifikia kwenye hoteli moja na kwa bahati mbaya wafaransa wanakasumba kweli ya lugha yao maana kila kitu huandikwa kifaransa hivyo hata menu ilikuwa hivyo. Bahati nzuri kulikuwa na mhudumu ambaye alikuwa anababaisha kiingereza [ana asili ya algeria] nikamwambia kuwa mimi ni muislamu na sili nguruwe hivyo ninengeshukuru sana kama yeye angenichagulia chakula. Alifanya hivyo kwanza alileta ile starter soup aisee ilikuwa ina ladha nzuri kweli kweli na nilimsifia sana kwa hilo lakini siku ya pili nikagundua kuwa ile supu ilikuwa ya chura ilinikera kidogo kujua kuwa nilikula chura na sikurudia tena na hata hivyo aisee ile ladha ni ya pekee kabisaJuzi usiku tumefika kwenye mgahawa mmoja, tukaambiwa mmechelewa na soon tutafunga kwenye menu tumebakiwa na aina moja tu ya chakula,tukatajiwa jina. Nilitaka kujua kimetengenezwa na nini, nikaambiwa ni viazi na miguu ya chura. Nikawaambia no,nipeni bia tu inatosha. Tena yule dada akasisitiza ni chakula kitamu sana, typical food from the area.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukumbana na hii menu.
Bro unachosema ni kweli kabisa kwani nilipokwenda ufaransa nilifikia kwenye hoteli moja na kwa bahati mbaya wafaransa wanakasumba kweli ya lugha yao maana kila kitu huandikwa kifaransa hivyo hata menu ilikuwa hivyo. Bahati nzuri kulikuwa na mhudumu ambaye alikuwa anababaisha kiingereza [ana asili ya algeria] nikamwambia kuwa mimi ni muislamu na sili nguruwe hivyo ninengeshukuru sana kama yeye angenichagulia chakula. Alifanya hivyo kwanza alileta ile starter soup aisee ilikuwa ina ladha nzuri kweli kweli na nilimsifia sana kwa hilo lakini siku ya pili nikagundua kuwa ile supu ilikuwa ya chura ilinikera kidogo kujua kuwa nilikula chura na sikurudia tena na hata hivyo aisee ile ladha ni ya pekee kabisa