Msosi gani unakula/unategemea kula mida hii???

Nawaonea gere mnaokula vyakula, jana nili·Serengeti usiku kucha, bahati mbaya kinachoweza kushuka ni nyama tu.
Karibuni.
 
my shem Cantalisia mm niko poa...mmeamua kushindia matunda?...au ndo kuchacha dizain mnasingizia dayati...
Hahaha ahha,Shem wangu BAGAH,
Cha asubuhi kilituzidia tukalala tumeamka saa tano tukapiga brakefast ya ya ukweli ndio maana tumeamua kula matunda tu na kushushia cha mchana hahahah
Kwan hujui km mme wangu ni Rejao ni tajiri kubwa mjin hapa!
 
Last edited by a moderator:

mh...cha asubuhi kitawafukuzisha kazi Cantalisia...
 
Last edited by a moderator:
Dah mie nlikua napiga Ugali kwa smaki na Mlenda,Chinese,maharage na dagaa kidogo; pande za kwa mama ntilie hapa Kinondoni Mango garden kwa nyuma, kitu cha kiuswaz ni kitabu balaa"
 
Leo nakula ndizi mbivu mbili
na embe moja.

Baadae nitakunywa maji ya moto.
 
Back
Top Bottom