Msosi gani unakula/unategemea kula mida hii???

Msosi gani unakula/unategemea kula mida hii???

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Mi ndo nasubiria menyu la kazini leo j3 ugali na maharage, nyama,mboga za majani na matunda kwa pembeni, nikiongezea hapo na kyoda changu cha sprite basi nafeel muruaaaaa.
Ebu tupe mida unatupia nini?
.wale wa home,
.wale wa hotelini
.wale wa mahindi ya kuchoma mtaani,
WOTE TWENDE TU ILIMRADI JF NI BURDAAANI TOSHA AND PART OF OUR DAILY LIFE.
 
mkuu Tangopori we mjeda nini?...,mi ngoja ni muulize la azizi wangu kaniandalia nini eti sweetii Madame B umeniandalia nini mchana huu?
 
Last edited by a moderator:
Nimekula kipande cha kiazi kitamu na parachichi,
kweli nimefurahia sana hii menu ya leo,
hapa nina ndizi mbivu mbili naona nitaziweka mpaka kesho.

Enjoy your lunch.
 
nko cafteria 1 hapa udzm.. napata kitu cha wali njegere, parachichi pembeni na maji ya uhai.!!! U can join ila kwa ela yako..
 
utalishwa pilipili na bamia mpaka uote sugu.. chezea madame B wewe

teh!teh!teh!....dah! Mkuu Junior. Cux sikuwezi,pole sana kumbe ulikua upendwi kiasi hicho!mwenzio full malavidavi.....ha,ha,ha, yaani hii lunch tosha maana toka ijumaa nilikua sijapata kucheka kama leo Junior. Cux umefanya siku yangu leo kuwa murua
 
Last edited by a moderator:
Mi ndo nasubiria menyu la kazini leo j3 ugali na maharage, nyama,mboga za majani na matunda kwa pembeni, nikiongezea hapo na kyoda changu cha sprite basi nafeel muruaaaaa.
Ebu tupe mida unatupia nini?
.wale wa home,
.wale wa hotelini
.wale wa mahindi ya kuchoma mtaani,
WOTE TWENDE TU ILIMRADI JF NI BURDAAANI TOSHA AND PART OF OUR DAILY LIFE.

husinziagi kweli kula ugali maharage mchana wote huu eh we nakuaminia...
 
teh!teh!teh!....dah! Mkuu Junior. Cux sikuwezi,pole sana kumbe ulikua upendwi kiasi hicho!mwenzio full malavidavi.....ha,ha,ha, yaani hii lunch tosha maana toka ijumaa nilikua sijapata kucheka kama leo Junior. Cux umefanya siku yangu leo kuwa murua

ah ucjar mkuu.. we muangalie sana huyo mmama co mzuri.!!
 
Last edited by a moderator:
ah ucjar mkuu.. we muangalie sana huyo mmama co mzuri.!!

nasikia alikua asubuh akiamuka anakupigisha dek kwanza ndo unaenda job,weekend no kutoka kazi yako kufua nguo zote chafu.pole kijana mwenzi napewa mapenz motomoto
 
Sie tulipata brakefast ya kueleweka,
Mchana huu tumekula matunda tu,
Tukashushia na mchana akaaaaaaaaa!nyoyo bardiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na Rejao wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom