Msongo wa mawazo na madhara yake!

Msongo wa mawazo na madhara yake!

Stephen Covey anasema hivi ' Between stimulus and response there is a space. In that space lies our freedom and power to choose our response. In those choices lie our growth and our happiness.'

You can choose your response and get your freedom kwa kuongeza gap. Take all the time you need to make decisions especially zinazohusu mahusiano. Na pia take time to value things and people. Mbona unaweza kutendwa tu na kuendelea na maisha? Kuna watu wanajiua wakipata hasara ya biashara. Lakini ukijipa muda unagundua kama nilipata hizi nikiwa sina uzoefu kabisa, seuze sasa najua nilipokosea? Kama uliweza mpata mpenzi, ama kuwa na ndugu karibu, wako wangapi walio bora zaidi wanaoweza kuchanganua maisha yako? Take it easy.

Binafsi, kuhesabu baraka zangu kunanifanya nisiwe desperate kwa lolote. Sio mtu, upendo, mali, mavazi ama chakula. I can survive bila vyote hivyo. Attitude can take u anywhere
 
…..heheheh!,…..hujawahi #KuharibiwaMaisha wewe ukaona uchungu wake,
hizo theory zote huwa hazifanyi kazi Ujue?!

@Kaunga….umenifurahisha sana hapo,….ila nikuulize,…pamoja na kutojali huko?
somewhere back in your mind hakuna ile Guilty Consciousness kwamba unachofanya ni
kinyume na ulivyokuzwa/kulelewa?

Nope,
Nafikiri ni kwakuwa hata baba alikuwa useless kwenye mambo ya kimila. Yaani alilead maisha yake the way aliona inafaa.
Kingine nafikiri mitazamo yangu ni ya kawaida sana kiasi kwamba siingii kwenye angle za wengi kasoro wa kuchangia harusi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hii topic ni nzuri sana, thanks Mbu
Nitabaki kama msomaji nifuatilie michango yote. Damn! Nilipitia kitu fulani nilihisi ndiyo mwisho wangu. C'est la vie!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
He he he, ni kuna baadhi ya vitu hata wewe ni mgumu kiasi gani, guilty conscious haziwezi kupotea. Lakini mambo haya huttofautiana kati ya mtu na mtu kulingana na makuzi yetu.

@Kaunga….umenifurahisha sana hapo,….ila nikuulize,…pamoja na kutojali huko?
somewhere back in your mind hakuna ile Guilty Consciousness kwamba unachofanya ni
kinyume na ulivyokuzwa/kulelewa?

  • Thanks
Reactions: Mbu
ngoja nipite maana hiyo mada kama imenilenga mimi vile,ntarudi kusoma maoni ya watu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hii topic ni nzuri sana, thanks Mbu
Nitabaki kama msomaji nifuatilie michango yote. Damn! Nilipitia kitu fulani nilihisi ndiyo mwisho wangu. C'est la vie!

… BelindaJacob, lol…..unatakiwa u share experience na wenzako 'ulitokaje' kwenye tundu ya sindano aisee

...mimi namshukuru mungu am well past over it sema ubaya ni kwamba the experience imeniachia a sour taste mdomoni mwangu,…..I find it soo difficult ku Trust again aisee….in a long run I tend to hurt wasiohusika.

Kwa wengi wasioweza lipiza, huishia kuwaombea wahusika nao wakutane na mtu atayewapa a taste of their own medicine,….apart from that, it's a lesson well learnt kwa upande wangu and the only relief ni mhusika atapokuwa kwenye hardship eti!

pheewww,….i need therapy kabla sijamdhuru mtu siku moja…[Smh!]
 
kila ninachojaribu kufanya niondokane na msongo
kinanisaidia kwa muda,ama hakinisaidii kabisa
nabaki kuumia tu zaidi
kwa uzi huu pengine nitapata kitu tofauti
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mi nikiambiwa nyamaza ndo nalia zaidi..na nakua nalia zaidi kwa kua tu nimeambiwa ninyamaze...nikilia sana naona kama nimetua mzigo fulani lakini haimaanishi kua hali ya maumivu itaisha muda huo huo..itanitokea tu tena badae...
Inasaidia sana ukiongea,
hasa kwa watu unaowaamini na wanaokuruhusu kuonyesha kuumia kwako. Sio
unamweleza mtu shida zako na unajisikia kulia anaanza 'nyamaza', niwache
nilie, ndio maana nimekuja kwako angalau kuonyesha na kukubali kuwa am
human, asometimes nakuwa vulnerable and weak.

Ukitoka hapo uki vizuri kichwani
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

…..sasa si mpaka uwe umekuzwa katika mazingira ambayo it is Ok kulia,….
fikiria mtu ambaye amekulia katika mazingira ambayo, alipokuwa analia ndio kwanza
alikula mikwaju zaidi "anyamaze kulia,…!"

Wanaume wengi sie hulia kimoyo moyo!….yaani, unayashindilia mauchungu mpaka yakija lipuka na
watu wajue kilio chako, tayari kuna majeruhi au maafa...
Sasa hio ndio mbaya ni vyema mtu akiwa ana njia ya kuconcur hasira zake aidha kwa kulia au mfano atembee mwendo mrefu au afunguke kongea na mtu kuliko kulia kimoyomoyo hio ndio hatari...Kwasababu unaweza uchukue maamuzi ya ajabu sana yanayoweza kuhatarisha uhai wako!
 
Kulia ni therapy nzuri sana ambayo hupunguza machungu uliyonayo moyoni. Unaweza kumkuta mtu aliyejaliwa machozi akalia machozi mengi sana pale kuna kitu kilichomuumiza moyo wake na mtu yule yule mwenye machozi mengi kwa mfano ukatokea msiba wa karibu anatafuta hata matone machache ya machozi msibani hapati hata tone moja.

Mfadhaiko wa akili pia kama haukutibiwa haraka katika nchi zetu watu hawakawii kumuona muhusika ni mwendawazimu/mwehu/kichaa na kwa imani hii potofu si ajabu hata ndugu, jamaa na marafiki huanza kumtenga badala ya kumsaidia ili kupata matibabu husika na hali ya mfadhaiko wa akili ndiyo inazidi kuwa mbaya zaidi. Wengine hukimbilia kwa waganga wa kienyeji ambapo utaalamu wa kutibu mfadhaiko wa akili kwa maoni yangu bado haupo na hivyo kutomsaidia mgonjwa na hivyo kuzidi kuzorotesha hali yake.

Bofya hapa: The health benefits of crying

hii huwa naipenda sana. Inanisaidia kujitafakari....
Huwa kitu cha kwanza kukifanya ni kujifungia na kulia sana, yaani nalia mpaka nione nimetosheka......
Ninapomaliza hapo huwa naanza kutafakari kilichotokea, naweka issue kwenye angle zooteee. najaribu kujiweka kwenye shoes za aliyenitenda, kama ningekuwa mimi ningefanya hivyo? namuhukumu na kumtetea mimi mwenyewe. Nikijiridhisha naanza kusali, kwenye process nampa msamaha (ndani ya moyo wangu). Nikishamsamehe nakutana naye kumtaarifu nimemsamehe na kujadili the way forward (kuendelea au kummwaga).
 
Kweli watu tunatofautiana, mimi mtu akinikwaza huwa na hasira za hapo kwa hapo na nikitoa chozi ndo mwisho wa hasira zangu (msinicheke) tena nikinyamaza nakupotezea kama kulikuwa hakuna ugomvi vile.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hapa kuna swala la afya ya akili

wengi huwa tunajali afya zetu za mwili hatujali saana afya za akili...

mtu anafanyakazi haipendi kwa mfano na ndo inayo muweka mjini

kwa vyovyote huyu mtu hatakosa msongo wa mawazo..

sababu muda mwingi kazini ni kama yupo kwenye mateso..
ni rahisi kutafuta mtu wa kumuondolea hizo stress
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwanza kabisa nadhani inategemea na jinsia ya mhusika.

Mara nyingi wanawake wakiwa na tatizo huwa wanapenda zaidi kulizungumzia tatizo hilo na watu wao wa karibu.

Lakini kwa wanaume wengi, tukiwa na tatizo, we often prefer to keep it to ourselves.

Mume anaweza akawa na tatizo kubwa sana kazini lakini asimfahamishe hata mkewe.

Tamaduni na personal circumstances za mhusika pia zinachangia.

Hata hivyo, hayo yote yana faida na hasara zake.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mh! Usiombe kuwa na msongo wa mawazo hasa unaosababishwa na mapenzi wenye roho nyepesi ndio hao 2naowasikia wakijiripua! But kila mmoja ana njia yake ya kuondoa ama kupunguza msongo wa mawazo lakini njia nzuri ninayoiona mimi ni ile ya kukaa mwenyewe kwa muda huku ukitafakari kwa kina kisha kujipa moyo na kuignore na mwisho kabisa kumuomba mungu + kuwa bize na shughuli kama kazi ama masomo ,kanisani n.k otherwise u will end up crying au kuacha shughuli muhimu zikupite huku aliyekusababishia msongo huo wa mawazo akila raha zake!! bad sana!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Stress yoyote ile hupunguza ufanisi wako kwa 50% kwa chochote ufanyacho..na ikiwa severe ufanisi hushuka mpaka 0%

Kumbuka: kwa wale wenye stress za mapenzi , ONLY TIME can heal BROKEN HEARTS...!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mh! Usiombe kuwa na msongo wa mawazo hasa unaosababishwa na mapenzi wenye roho nyepesi ndio hao 2naowasikia wakijiripua! But kila mmoja ana njia yake ya kuondoa ama kupunguza msongo wa mawazo lakini njia nzuri ninayoiona mimi ni ile ya kukaa mwenyewe kwa muda huku ukitafakari kwa kina kisha kujipa moyo na kuignore na mwisho kabisa kumuomba mungu + kuwa bize na shughuli kama kazi ama masomo ,kanisani n.k otherwise u will end up crying au kuacha shughuli muhimu zikupite huku aliyekusababishia msongo huo wa mawazo akila raha zake!! bad sana!!

Kuna wimbo wa Whitney Hauston (RIP) unasema 'Where do broken hearts go'
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom