Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Nahisi kuna kitu labda siwapati sawa, kuna msongo wa mawazo na hasira/Maumivu.
Kwa tafsiri yangu msongo wa mawazo unatokea pale unapokuwa na tatizo ama unalifahamu ama haulifahamu, likasababisha maumivu/hasira za muda mrefu. Hapo ndio unapoanza kuona dalili kama kuumwa kichwa, kukosa usingizi, wengine presha juu, mara kisukari juu, vidonda vya tumbo juu n.k.
Sasa, sijajua matatizo kama haya unajipa vipi muda wa kukaa peke yako utafakari wakati yanakuwa ni maumivu ya muda. Kitu nachohisi unaweza kukaa peka yako na kutafakari ama kutafuta suluhisho ni maumivu ya muda mfupi.
Simaaninshi kuwa mtu hawezi ku deal na msongo wake peke yake, ila lazima tuangalie msongo huo uko katika hatua gani. Msongo wa mawazo ni ugonjwa wa akili kabisa, labda kujua hatua ni muhimu ili kutambua kama mhisika anahitaji msaada wa mtu wa ziada ama bado ni kitu kiko ndani ya uwezo wake kukabialana nacho.

ukiona bado hujalipuka ujue maumivu hayajafika sehemu yake.... yanaweza yakaja taratibu ukayapuuzia huku ukiyaweka kichwani lakini siku yakilipuka ndo utakapoona kila rangi.... huo ndo muda ninaoutumia hasa kuwa mwenyewe. na inanisaidia.
Unapoamua kujitenga ni vizuri ukawa unajua hasa nia yako ya kujitenga. Unaweza kujitenga kwa muda na ukapata solution nzuri sana kwa msongo wako kuliko kusikiliza huyu na yule wanasema nini. kuna ambao wanajiua pia kwa kusikiliza maneno ya watu, kila mtu anakuambia lake mpaka unajiona kama huna maana tena unaona ni bora uishie.