Msiwe wabishi, Polycarp Cardinal Pengo alishajiuzulu na hayumo tena madarakani

Uaskofu mkuu wa jimbo la Dar (jimbo kuu) yeye ndiye kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Pengo ni cardinal yaani anawakilisha mamlaka ya Papa kwa Serikali, kazi za Arch bishop wa main diocese ni kuongoza jimbo kuu la nchi na mwenyekiti wa maaskofu, kukusaidia cardinal ni kama Jafo na Makonda.

Makonda ndiye bosi wa Dar, ila Jafo yuko juu ya Makonda kiprotocal si kiutendaji level ya mkoa. Hivyo mtoa mada yuko sahihi anaetajwa kwenye sala na mlezi mkuu wa kanisa (mwenyekiti wa TEC) Ruw'aich ila Pengo ni kama mshauri mzee wa heshima barazani. Kura yake na askofu mkuu wa Iringa ni sawa barazani ndiyo maana Pengo hakuridhia waraka ule mchungu wa Serikali lakini alizidiwa kwa kura za wajumbe wengi Arch bishop huwa ni mmoja kwa nchi ila Makaldinali mfano Misri wako wa 3
Umeenda chaka mbaya. Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar hana tofauti kimamlaka na utwala na askofu mkuu wa jimbo kuu la Mwanza, Arusha, Mbeya, Songea na Tabora.
Mwenyekiti wa TEC ni askofu Nyaisonga wa Mbeya na si Rua'ichi. Baraza la maaskofu lina Secretariat mbalimbali ambazo zinaongozwa na maaskofu, kwa maana ya kawaida ni Wizara na mwenyekiti ndo Raisi. Ndani ya TEC maaskofu wote Ruaichi, na wengine ni mawaziri wanaoongoza secretariet mbalimbali kama elimu, litrujia, afya, nk
 
MIsale unayosema ni ile MISALE YA WAUMINI au ile ya altareni. Maana kama ni misale ya waumini basi hata askofu msaidizi hatajwi anatajwa askofu wa jimbo tu.

Halafu Eucharist prayer haikuwa ile ya kutaja watakatifu wengi.

Lakini hoja inabaki mbona Papa Benedict XVI hatajwi hata kama kungekuwa na hiyo ya I au ya IV.

Kuhusu picha ni kwamba baadhi hadi leo kuna picha ya Pengo tena hata ya Jude Thadaeus haipo.

Sina misale ningekuambia namba. Ila kwa kusaidia ukisikia inayotaja watakatifu wengi kuliko nyingine ujue ndo hiyo hiyo. Ni namba I na IV kama sikosei.
Kuhusu picha ya askofu mstaafu sijaelewa. Hiyo picha ndo iko pekee au picha ya incumbent ipo?
 
Kama nina chuki wakati nina hoja ya msingi basi hiyo chuki ni chuki ya haki.

Ninachukia kuibua utaratibu wa mtu binafsi usio wa kikanisa.

Kumtaja Pengo wakati alishajiuzulu ni si utaratibu wa kanisa na nina kila sababu ya kuuchukia.

Una hoja ya msingi, ila nimegundua una chuki.
 
Sitaki kuamini hadi muda huu hakuna msabato hata mmoja aliyuevamia uzi
 
Kusema kweli hata kwa mtu ambaye sio Mkatoliki lazima aone kuna walakini. Haiwezekani askofu mkuu mpya ameshasimikwa halafu yule aliyetoka awe anatajwa badala yake (au hata pamoja naye). Zaidi ya hapo, Mwadhama Cardinal Pengo ameshafikisha ule umri wa kustaafu uaskofu wake kiitifaki. Kwa nini aendelee kutajwa? Au ni kwa kuwa ni "mwenzetu" chamani?
 
MIsale unayosema ni ile MISALE YA WAUMINI au ile ya altareni. Maana kama ni misale ya waumini basi hata askofu msaidizi hatajwi anatajwa askofu wa jimbo tu.

Halafu Eucharist prayer haikuwa ile ya kutaja watakatifu wengi.

Lakini hoja inabaki mbona Papa Benedict XVI hatajwi hata kama kungekuwa na hiyo ya I au ya IV.

Kuhusu picha ni kwamba baadhi hadi leo kuna picha ya Pengo tena hata ya Jude Thadaeus haipo.
Tangu Papa Benedict XVI alipoagiza matumizi ya tafsiri ya lugha mahalia itokane na misale ya kirumi mwaka 2013, mpaka sasa hakuna misale ya waumini mpya, maana hata misale ya altare bado haijatoka rasmi. Ndo maana unaona mapadre wakati mwingine wanasoma misa kwa madesa (pamphlet). Sasa inategemea pamphlet anayotumia huyo padre inataja au haitaji mstaafu.

Kuhusu picha pia kumbuka Dar parokia nyingi ziko chini ya mashirika, mapadre wa mashirika siyo lazima waweke picha ya askofu wa jimbo ofisini kwao.
 
Kama umeshangaa kuombea askofu mstaafu siku ukisikia kanisa katoliki linawaombea wasiomkiri Mungu, na wasiomkiri kristu si ndo utasikitika kabisa.
 
Kusema kweli hata kwa mtu ambaye sio Mkatoliki lazima aone kuna walakini. Haiwezekani askofu mkuu mpya ameshasimikwa halafu yule aliyetoka awe anatajwa badala yake (au hata pamoja naye). Zaidi ya hapo, Mwadhama Cardinal Pengo ameshafikisha ule umri wa kustaafu uaskofu wake kiitifaki. Kwa nini aendelee kutajwa? Au ni kwa kuwa ni "mwenzetu" chamani?
Kwa kanisa katoliki kustaafu siyo kujiondoa kwenye safu. Askofu mkuu mstaafu Lebulu alistaafu toka mwaka jana, ila ndo aliongoza ibada ya kumsimika askofu mkuu mpya wa mwanza mwaka huu. Natamani nikuulize, je, kwenye misa hiyo alitajwa au hakutajwa, ila ntakuwa nakuonea.
 
Kuna mtu kaandika uongo mchana huu na jua likiwaka, eti shemasi au padre anaweza kuteuliwa kuwa kardinali. Muongo mkubwa. Hakuna kardinali alietoka huko,lazima awe askofu
 
Kwanza hakuna cheo cha kardinali wa tz. Kardinali ni mfanyakazi wa papa anaweza kuwa yeyote kati ya Padri, Shemasi, au Askofu na siyo kwamba kila nchi lazima kuwe na kardinali. Kazi ya ukardinali inaishia tu Vatican kumsaidia papa katika majukumu yake pale vatikan, na ndo mana kila kardinali amepangiwa kazi yake pale Roma. Mkuu wa kanisa katoliki katika nchi yoyote ni Askofu mkuu katika jimbo lake na hakuna Askofu mkuu zaidi ya wenzake na siyo kardinali ni kwa vile tuu pengo alipewa ukardinali na akawa askofu mkuu wa jimbo kuu haimaanishi kwamba kardinali ndo mkuu wa kanisa. Kardinali anaweza kuteuliwa hata shemasi au padre na cheo chao kinaishia Vatican.
Wewe umeeleweka
 
Kuna watu bado hawaamini kwamba Polycarp Cardinal Pengo hayumo tena madarakani na lakini bado wanaendelea kumtukuza huenda asisahaulike.

Ukitembelea baadhi ya Parokia na nyumba za kanisa bado picha ya Polycarp Pengo inaonekana kana kwamba yeye ndiye askofu wa D'Salaam.

Halafu jimbo la D'Salaam limeanzisha mtindo ambao haupo kabisa. Misa inapofika ile sehemu ya kumtaja askofu huwa tunasema "Yaani mtumishi wako Baba Mtakatifu Francis na askofu wetu Jude Thadaues na askofu msaidizi Eusebius".

Sasa siku hizi baadhi ya parokia za D'Salaam zimebuni zikisema "na askofu wetu mstaafu Polycarp Cardinal Pengo".

Sijui hii wamefundishwa na nani tena nimeisikia ikitamkwa palepale St. Joseph ambako ni makao makuu ya kanisa.

Nasema hivi kwamba hii haitakiwi. Maadam Pengo ameshajiulu hatakiwi kabisa kufanyiwa hayo na hastahili.

Tukianza na picha, picha iliyopo ni picha ya Papa Francis wala hakuna picha ya Papa Benedict XVI aliyejiuzulu. Hata ile sala hatusemi "na Papa Mstaafu Benedict XVI" tunaishia kumsema Francis tu.

Hivyo, tukumbushane ukweli. Picha ya Polycarp Pengo iondolewe kwenye ofisi zote za jimbo la D'Salaam kama ilivyoondolewa ya Lebulu (Arusha), Mtega (Songea), Msarikie (Moshi), Butibubage (Mwanza), Papa Benedict XVI (Roma).

Na ile sala Pengo asitamkwe kwani hastahili kama ambavyo hatumtamki Papa Benedict XVI.

Kukumbishana ni vizuri. Jadili kwa hoja.
Bonjour je
 
Back
Top Bottom