Msiwe wabishi, Polycarp Cardinal Pengo alishajiuzulu na hayumo tena madarakani

Nijuavyo mimi Kardinali wa TZ ni P.Pengo, na huyu ndiye atashiriki kwenye kupiga kura ya Papa mpya huko Roma kama ikihitajika kufanya hivyo.

Labda unachanganya kati ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar na Kardinali!
Kwanza hakuna cheo cha kardinali wa tz. Kardinali ni mfanyakazi wa papa anaweza kuwa yeyote kati ya Padri, Shemasi, au Askofu na siyo kwamba kila nchi lazima kuwe na kardinali. Kazi ya ukardinali inaishia tu Vatican kumsaidia papa katika majukumu yake pale vatikan, na ndo mana kila kardinali amepangiwa kazi yake pale Roma. Mkuu wa kanisa katoliki katika nchi yoyote ni Askofu mkuu katika jimbo lake na hakuna Askofu mkuu zaidi ya wenzake na siyo kardinali ni kwa vile tuu pengo alipewa ukardinali na akawa askofu mkuu wa jimbo kuu haimaanishi kwamba kardinali ndo mkuu wa kanisa. Kardinali anaweza kuteuliwa hata shemasi au padre na cheo chao kinaishia Vatican.
 
Kwanza hakuna cheo cha kardinali wa tz. Kardinali ni mfanyakazi wa papa anaweza kuwa yeyote kati ya Padri, Shemasi, au Askofu na siyo kwamba kila nchi lazima kuwe na kardinali. Kazi ya ukardinali inaishia tu Vatican kumsaidia papa katika majukumu yake pale vatikan, na ndo mana kila kardinali amepangiwa kazi yake pale Roma. Mkuu wa kanisa katoliki katika nchi yoyote ni Askofu mkuu na siyo kardinali ni kwa vile tuu pengo alipewa ukardinali na akawa askofu mkuu haimaanishi kwamba kardinali ndo mkuu wa kanisa. Kardinali anaweza kuteuliwa hata shemasi au padre na cheo chao kinaishia Vatican.


Ni wapi nimesema Kardinali ni Mkuu wa Kanisa?
Mkuu wa Kanisa Katoliki ni Papa anaishi Roma. Nilichosema ni kwamba Kardinali P.Pengo ndiyo pekee anayeweza kipiga kura kuchagua Papa kwa upande wa TZ kama ikihitajika.
 
Uaskofu mkuu wa jimbo la Dar(jimbo kuu) yeye ndiye kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Pengo ni cardinal yaani anawakilisha mamlaka ya Papa kwa Serikali ,kazi za arch bishop wa main diocese ni kuongoza jimbo kuu la nchi na mwenyekiti wa maaskofu ,kukusaidia cardinal ni kama Jafo na Makonda ,Makonda ndiye bosi wa Dar ,ila Jafo yuko juu ya Makonda kiprotocal si kiutendaji level ya mkoa ,hivyo mtoa mada yuko sahihi anaetajwa kwenye sala na mlezi mkuu wa kanisa (mwenyekiti wa TEC) Ruw'aich ,ila Pengo ni kama mshauri mzee wa heshima barazani kura yake na askofu mkuu wa Iringa ni sawa barazani ndo maana Pengo hakuridhia waraka ule mchungu wa Serikali lakini alizidiwa kwa kura za wajumbe wengi arch bishop huwa ni mmoja kwa nchi ila makaldinali mfano Misri wako wa 3
Ni sababu gani inapelekea nchi moja kua nanmakadinari zaidi ya mmoja?
 
Katika hizo Eucharist prayers unazosema I hadi IV ipi inamtaja Papa au askofu aliyejiuzulu?
Ni wapi panaporuhusu picha ya Pengo iendelee kuwepo wakati ya Papa Benedict XVI iliondoka?

Ndugu inategemea na sala ipi ya Ekarist ilisomwa, zipo namba I - IV, nyingine ni flexible kuongeza na wastaafu ila nyingine zimebana. Hata hivyo Cardinal Pengo alishaimbiwa "Ndiwe kuhani hata milele kwa mfano wa Melkisedeki" hivyo anastahili kuendelea kumuombea.
Suppose Pengo akikengeuka na kuamua kuwa Mganga wa kienyeji, ni nini itakuwa impact yake kwenye ukatoliki? Acha aendelee kuombewa.
 
Ni wapi nimesema Kardinali ni Mkuu wa Kanisa?
Mkuu wa Kanisa Katoliki ni Papa anaishi Roma. Nilichosema ni kwamba Kardinali P.Pengo ndiyo pekee anayeweza kipiga kura kuchagua Papa kwa upande wa TZ kama ikihitajika.
Uliposema kardinali wa TZ nikajua unazungumzia kama ndiyo cheo cha nchi.
 
Katika hizo Eucharist prayers unazosema I hadi IV ipi inamtaja Papa au askofu aliyejiuzulu?
Ni wapi panaporuhusu picha ya Pengo iendelee kuwepo wakati ya Papa Benedict XVI iliondoka?
Sina misale ningekuambia namba. Ila kwa kusaidia ukisikia inayotaja watakatifu wengi kuliko nyingine ujue ndo hiyo hiyo. Ni namba I na IV kama sikosei.
Kuhusu picha ya askofu mstaafu sijaelewa. Hiyo picha ndo iko pekee au picha ya incumbent ipo?
 
Mdanganywa,

Your damn right, sijui viongozi wengine katika Parokia za Jimbo kuu la Dsm wana akili za “kufikirika” hawaoni waziwazi kuwa Baba Mtakatifu Mstaafu hajumuishwi tena kwenye sala licha yupo “HAI”? Kwanini ya Askofu Pengo yasiachwe? Viongozi wengine hupenda kupenyeza mafundisho potofu katika kanisa!!!! Ya Askofu Lebulu yametulia why not ya Askofu Pengo?
 
Nijuavyo mimi Kardinali wa Tanzania ni P. Pengo, na huyu ndiye atashiriki kwenye kupiga kura ya Papa mpya huko Roma kama ikihitajika kufanya hivyo.

Labda unachanganya kati ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar na Kardinali!
pengo hana haki yakupiga kura Tena au kupigiwa kura he's above 75
 
Uaskofu mkuu wa jimbo la Dar (jimbo kuu) yeye ndiye kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Pengo ni cardinal yaani anawakilisha mamlaka ya Papa kwa Serikali, kazi za Arch bishop wa main diocese ni kuongoza jimbo kuu la nchi na mwenyekiti wa maaskofu, kukusaidia cardinal ni kama Jafo na Makonda.

Makonda ndiye bosi wa Dar, ila Jafo yuko juu ya Makonda kiprotocal si kiutendaji level ya mkoa. Hivyo mtoa mada yuko sahihi anaetajwa kwenye sala na mlezi mkuu wa kanisa (mwenyekiti wa TEC) Ruw'aich ila Pengo ni kama mshauri mzee wa heshima barazani. Kura yake na askofu mkuu wa Iringa ni sawa barazani ndiyo maana Pengo hakuridhia waraka ule mchungu wa Serikali lakini alizidiwa kwa kura za wajumbe wengi Arch bishop huwa ni mmoja kwa nchi ila Makaldinali mfano Misri wako wa 3
total rubish
Papa ana mwakilishi wake nchini ambaye ni balozi wa Vatican sio pengo
pengo sio kiongozi wa maaskofu au kanisa katoliki tz Arch Bishop Gervas mwaisonga+ ndo raisi wa baraza la maaskofu katoliki tz
pengo ni mstaafu anabaki kuwa mshauri tu endapo akihitajika
 
Back
Top Bottom