Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 857
- 2,289
Nguvu wanayoitumia Polissi kupambana na raia wangeitumia shule sasa hivi wasingekuwa polissi.
Anyway msiwalaumu sana maana 99% ni wale waliofeli shule wakakimbimbilia upolisi, hata hao wenye degree wengi i wale wa uwe na D mbili ikiwemo ya hisabati. Kwa kifupi walifeli shule wakaunga unga elimu zao so unaweza kuona mtu Profesa lakini hana IQ ya kiprofesa.