Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis


....kuna watu humu mna vichwa vizuri sana!,
wengi wanapenda kujadili mada kishabiki ili kuzifurahisha nafsi zao, wanajitoa akili kabisa!, kama wao ni malaika fulani walioshuka toka mbinguni!

big up!
 
yaani si kucha kuwakemea tu, anataka waombwe radhi kabisa! Kwa maana nyingine jamii inayokemea haya mambo ndio wanakosea ila hawa jamaa wako sahihi. Sasa sijui ni nini maana ya kuwa kiongozi kama wattu wanaknsea lakini kiongozi anasema waachwe tu..Dah! Ukistaajabu ya musa utayaona ya papa Fransis
 
Unautetea ushoga huna lolote ww....subiri mwanao au ndugu yako wa karibu aanze kupumuliwa kisogon thn ulete marejesho hapa umechukua hatua gan
Mm kwa mujibu wa din yangu
Nimeamrishwa kufanya haya
Pale zambi inapotendeka
1/kuizuia kwa mikono yako isitendeke
2/kuikemea
3/kuichukia
Sintokupa maelezo marefu ya hizo hoja ila nimechukizwa na ww kuutetea ushoga
 
 
Dunia ya leo na walimwengu wake Mungu tu aje atuchome maana hama namna eti mtu ukimuonya jambo lolote baya anakwambia umwache kwani wewe mtakatifu?? Maajabu haya, ngoja jambazi aje akukate mkono nyumbani kwako halafu tusikie ukilalamika.

Binafsi nimeamua kuishi maisha yangu tu lolote na liwe, sitoi msaada kwa mtu yeyote kwani mwathirika wa maovu haya kabla hajaathirika na mauaji, ufiraji, ubakaji n.k ukionekana mkemeaji atakwambia kwani wewe malaika?? Atakufunga mdomo lkn yatakapomkuta utaona kilio chake cha kinafiki wakati aliyapigia chapuo.
 
We naye naona tu unatetea ushoga. Jiulize kwa nini kaongea hayo, kwani kuna mtu kamhukum mwenzake?? Nani kamhukum shoga?? Au maana ya kuhukumu siku hizi tumejifanya hatujui??
 
K
Kwani kuna mtu kawahukum?? Mbona mnazungukazunguka tu, semeni tu kama mnasapoti tu la basi.
 
Hamjamuelewa Papa, Binadam hana haki ya kumhukumu binadam mwenzake kwa mambo ya kiroho isipokuwa anahaki ya kumkemea kama anafanya sivyo! Anayehukumu ni Mungu peke yake, sasa kipi kigumu kuelewa hapo?

Mkuu na wewe ukikutana na hao wapenzi wa jinsia moja waombe radhi, Papa kasema...
 
Ukweli papa kachemsha..kinachotakiwa ni kukemea maovu mwanzo mwisho ili waache ushoga...mi hanihusu papa ila upotoshaji wake tu ndio napiga basi vinginevyo amini utakavyoona ila dhambi lazima ikemewe mkuu hakuna kulemba
Safi kabisa mkuu mimi mwenyewe ni mtenda dhambi lkn kamwe sifungi midomo wanaikemea gmdhambi kama kweli papa kasema hayo ni dhahiri kabisa ni wakala wa shetani yuko kazini
 
Mkuu na wewe ukikutana na hao wapenzi wa jinsia moja waombe radhi, Papa kasema...
elewa thread inasemaje
kinachozungumziwa ni mambo ya kiroho.
Sasa ww ulikuwa unataka wapigwe wauawe?
Haturuhusiw kuhukumu sbb Mungu pekee ndiye anayehukumu na s binadamu.
Kuwakemea na kuwatenga hiyo ruksa tunaruhusiwa.
Bac ww ukiwaona wapige risas bac
 
...ndio tulishaambiwa, amri kuu ni UPENDO, wewe mpende tu hata kama anakukera!, kama papa alivyosema, kama Mungu angekuwa anahesabu maovu yetu ingekuwaje?, nani angepona hata kama sio gay?
Sasa ngoja nianzishe dini ya shetani ya dhahiri kabisa nitafute na wafadhiri kutoka kuzimuni maana naona wafuasi ni wengi mnajizungusha tu nyuma ya vi quotes vya bible lkn hamna kitu
 

Papa kasema Wakatoliki muwaombe radhi Mashoga, mbona sentensi inaeleweka unawasiwasi gani mkuu, haya maswala mtu kafanya dhambi ngapi Ni kitu kingine n wala havihusiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…