Msitiri anahitajika (MUME)

Msitiri anahitajika (MUME)

Kuwa na subra utapata tu!, km ulivyokuwa ukitafuta kazi hatimae ukapata sasa imani ile ielekezee kule ili upewe mume sahihi. Kila raheli madame! am still young tungesaidiana lakin gap ni kubwa sana. Pata kazi pata mume

Nashukuru sana kwa kunipa moyo!
 
Eeeh Mungu! wenye nia njema na wanione ili wanistiri na mimi!!!!

Napenda kwanza kutoa salaam kwenu nyote.

Jamani nimekuja hapa mbele yenu kwa lengo la kutafuta mwenza ili tustiriane. Najua huwa ni ya kushangaza kwa wengi pale mwanamke anapojitokeza na kuamua kutafuta mume maana haiendani na tamaduni zetu, naomba mtambue kwamba yamenifika shingoni na naona naumia moyoni kwa kusubiri hilo litokee, kwani muda unaenda na natamani hasa kuwa na mwenzangu katika dunia ya mahusiano. Naamini Mungu atanisaidia katika hili. Basi naomba kwa atakae kuwa na nia njema ajitokeze ili nami niweze kufarijika. Sifa zangu ni kama zifuatavyo;

Jinsia: KIKE
Umri:33
Elim: Degree
Kipato: Muajiriwa
Rangi:Mng'avu ila sio mweupe
Umbo: Mwembamba
Kimo: ~160cm
Dini: Islam

Sifa za mwenza
Umri:35-45
Elim: Yeyote tu ila angalau form six
Kipato: Sio lazima muajiriwa ila ni uhakika tu wa kusaidiana kutunza familia
Rangi:yeyote
Umbo: Awe wa kawaida ile sio mnene sana
Kimo: chochote tu
Dini: Islam

Kwa mawasiliano tafadhali naomba tutumie Private message (PM) au email: gcmrcm2011@gmail.com.
Natanguliza shukran zangu za dhati na nipo tayari kwa maswali yenu.
Karibuni waungwana.

ukhti sifa zote nnazo ila mie LOFA,,,,nakuombea Allah umpate mwenye sifa zote ulizozibainisha bibie GCM_RCM
 
Last edited by a moderator:
Eeeh Mungu! wenye nia njema na wanione ili wanistiri na mimi!!!!

Napenda kwanza kutoa salaam kwenu nyote.

Jamani nimekuja hapa mbele yenu kwa lengo la kutafuta mwenza ili tustiriane. Najua huwa ni ya kushangaza kwa wengi pale mwanamke anapojitokeza na kuamua kutafuta mume maana haiendani na tamaduni zetu, naomba mtambue kwamba yamenifika shingoni na naona naumia moyoni kwa kusubiri hilo litokee, kwani muda unaenda na natamani hasa kuwa na mwenzangu katika dunia ya mahusiano. Naamini Mungu atanisaidia katika hili. Basi naomba kwa atakae kuwa na nia njema ajitokeze ili nami niweze kufarijika. Sifa zangu ni kama zifuatavyo;

Jinsia: KIKE
Umri:33
Elim: Degree
Kipato: Muajiriwa
Rangi:Mng'avu ila sio mweupe
Umbo: Mwembamba
Kimo: ~160cm
Dini: Islam

Sifa za mwenza
Umri:35-45
Elim: Yeyote tu ila angalau form six
Kipato: Sio lazima muajiriwa ila ni uhakika tu wa kusaidiana kutunza familia
Rangi:yeyote
Umbo: Awe wa kawaida ile sio mnene sana
Kimo: chochote tu
Dini: Islam

Kwa mawasiliano tafadhali naomba tutumie Private message (PM) au email: gcmrcm2011@gmail.com.
Natanguliza shukran zangu za dhati na nipo tayari kwa maswali yenu.
Karibuni waungwana.

Pm yangu naona inagoma best yangu mm sifa zangu ni kama ifuatavyo
Elimu-diploma
Kazi-nimejiajili
Umri-30
Umbo- si mwembaba sana
Rangi-maji ya kunde
Urefu-172
dini-musli
Sifa kubwa nilionayo-mcheshi sana
Makazi-dar
 
Makazi-dar es salaam
 
kama dini ina stiri usingetafuta mtu mume kuusitiri utu wako wa kike.

Kumbuka na pia tumia akili kuelewa kuwa huolewi na dini bali unaolewa na mwanamume.

"when you are ridding to the road dont complicate your mind"

punguza dharau (elimu)

kwa maana mume anapenda kunyenyekewa.

kwa kuwa wewe ndiye msaka mume ungefanya jambo jema zaidi kama ungeweka ahadi mezani ili mtarajiwa avutike i.e hutasumbuliwa na past za mumeo, mapato chako hakitakuwa nyanyaso kwake kwa namna yoyote, utakuwa mvumilivu kwenye mchakamchaka wa maisha ya kifamilia (ambayo ni mageni kwako kama sio kwenu)
N.K
 
this sounds serious... kila la kheri dada, upate atae kufaa!!!
 
usijari nilikua nakuchemsha tu! kiukweli mimi nina sifa zote ulizotaja isipokuwa dini ndio tofauti, na kwa maandishi yako unaonekana ni mwanamke mwelewa sijui tunafanye rafiki yangu ili tuweze kusitiriana, niko serious katika hili!

Hapana shaka Kayaman, nimejua kwamba ni mzaha tu.
Jamani dini hapo kazi kwelikweli, yani imani ni kitu muhi kweli kwangu. Najua utapata mwingine mwema haswaa na ambae mtapendana kwa dhati ya nyoyo zenu. Ubarikiwe sana!
 
Pm yangu naona inagoma best yangu mm sifa zangu ni kama ifuatavyo
Elimu-diploma
Kazi-nimejiajili
Umri-30
Umbo- si mwembaba sana
Rangi-maji ya kunde
Urefu-172
dini-musli
Sifa kubwa nilionayo-mcheshi sana
Makazi-dar

Nimekuelewa bwana Kikoozi, ila mbona umri wako ni mdogo sana. Tafadhali usinielewe vibaya ila hiyo tofauti ni kubwa. Nakuombea upate ambae utakuwa umemzidi kidogo jamani, sisi wanawake tunachoka haraka sana na hivyo ni muhim kuoa ambae ni mdogo kwako ili mzeeke wote mkiwa na nguvu.

Nashukuru kwa kuonyesha nia KIkoozi na Mungu akujalie upate mwenza mwema wa nje na ndani ya roho!
 
kama dini ina stiri usingetafuta mtu mume kuusitiri utu wako wa kike.

Kumbuka na pia tumia akili kuelewa kuwa huolewi na dini bali unaolewa na mwanamume.

Ndugu naomba unisamehe sana kama nimekukwaza maana sijaona tatizo la kusema nahitaji muislam. Tambua tupo tofauti na kwamba tunatakiwa tukubaliane kwa tofauti zetu. Tafadhali sana kwa hili!

"when you are ridding to the road dont complicate your mind"

punguza dharau (elimu)

Naomba nikusamehe bure maana umeamua kunisema na kuninyanyasa bila sababu. Yani kusema mtu wa form six ndio nimekosea jamani. Sawa nashukuru kwa mtazamo wako ila huu mtazamo uutumie pia pale utakapo taka kumuoza binti yako maana mkishakuwa wazazi nanyi mnaanza kuchagulia watoto wanaume wakuwaoza. Please stick to this!

kwa maana mume anapenda kunyenyekewa.

kwa kuwa wewe ndiye msaka mume ungefanya jambo jema zaidi kama ungeweka ahadi mezani ili mtarajiwa avutike i.e hutasumbuliwa na past za mumeo, mapato chako hakitakuwa nyanyaso kwake kwa namna yoyote, utakuwa mvumilivu kwenye mchakamchaka wa maisha ya kifamilia (ambayo ni mageni kwako kama sio kwenu)
N.K

mh! haya ndugu nimekuelewa. Nashukuru kwa muda na ushauri wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom