Msitari mweusi chini ya kitovu

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,274
2,648
Habarini wapendwa. Ningependwa kujuzwa ktk hili. Inafahamika kwa akinadada, msitari mweusi unaotokea maeneo ya ktovu kuelekea chini mitaa ya K, hujitokeza kama dalili za awali za ujauzito (naomba kusahihishwa kama nimekosea) lakini kuna baadhi ya wasichana wanao mstari huu hata kama hawana ujauzito (yaani upo maisha yote) naomba kujuzwa tofauti ya wadada wa aina hii na wengine (wasio na huo mstari) yaan faida (kama zipo), hasara (kama zipo) etc. In short i need to learn something about this line kutoka kwenu wapendwa.
 
Mmmh, mkuu si kweli kama wenye huo mstari wana ujauzito, maana mi ninao na sina hata ujauzito!
Ila nilisikia wakubwa wakisema km mwanamke anaenda kufanyiwa oparesheni kujifungua huwa wanamkata kufuata huo mstari na sijui lolote zaidi ya hilo!

Ila ngoja wenye uzoefu watakuja muda si mrefu!
:eyebrows:
 
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa
 
Kuna msemo wa kiswahili unasemwa hivi "Ukimchunguza sana KUKU.."!

Ukianza hii tabia ya kumchuguza mwanamke kwa undani sana lazima unaweza kuwa "impotent"! Maumbile ya wanawake "yameficha mengi"

Anywayz: Kila mwanamke anao huo "mstari" - ujauzito huwa una-magnify tu!
 
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa

Mkuu Wizzo, Unampotosha mwenzio!!!!!
Wanawake wengi wanao huo mstari ila huonekana zaidi mtu akibeba mimba!
 
Mmmh, mkuu si kweli kama wenye huo mstari wana ujauzito, maana mi ninao na sina hata ujauzito!
Ila nilisikia wakubwa wakisema km mwanamke anaenda kufanyiwa oparesheni kujifungua huwa wanamkata kufuata huo mstari na sijui lolote zaidi ya hilo!

Ila ngoja wenye uzoefu watakuja muda si mrefu!
:eyebrows:

Mmh! Ina maana wewe hadi leo hujawahi kujifungua? Kama jibu ndy unasubiri nini?
 
Kila mwanamke ana huo mstari, ila mtu akiwa mjamzito huwa unakuwa dark zaidi. Kwahiyo ishu sio kutoa mimba. Tena hata wanaume wanao ila unakuwa kwa mbali, kama vp kila mtu ajicheki atauona
 
Kila mwanamke ana huo mstari, ila mtu akiwa mjamzito huwa unakuwa dark zaidi. Kwahiyo ishu sio kutoa mimba. Tena hata wanaume wanao ila unakuwa kwa mbali, kama vp kila mtu ajicheki atauona

Kumbe hadi wanaume nao wanao?
 
hat mimi nilisikia na kuamini kabisa kuwa mwanamke wa hivyo aidha alishazaa au alipata ujauzito(kutoka au kuharibika not withstanding) na niliamini!!niliamini kwasababu alieniambia ni binti mmoja daktari ambae alikuwa na ukaribu wa kutosha na mimi.sasa naanza kuchanganyikiwa!
 
Rubuye 123, Huyo Dr aliekwambia nna wasi wasi na shule yake mwangalie hata mtoto mdogo anao
 
Mmh! Ina maana wewe hadi leo hujawahi kujifungua? Kama jibu ndy unasubiri nini?

Mkuu Judgement,
Naona unaingilia maisha yangu, nijifungue hiyo mimba umenipa wewe?
Bado natafuta maisha kwanza.
Ila nikiolewa ndio tutatafuta watoto na huyo atakeyenioa!
 
Huo mstari kila mtu anao ila kwetu wadada unaonekana zaidi,
Huo mstari km walivyosema unaonekana zaidi mtu akiwa mjamzito,
Lkn haimaanishi kila aliyenao lzm alishakuwa na mimba,alitoa mimba au kuzaa,
Mie ninao na sijwahikuwa na mimba wala kuzaa,mdogo wangu naye anao na still ni toto mdogo,
Ninaye anti yangu ni SISTER kbs anao na hajawahi kuwa na mimba wala kuzaa.
 
acha kudanganyana, huo mstari upo kwa kila mtu ila unaonekana sana kwa wanawake na hasa wakiwa wajawazito.Kiutaalamu unajulikana kama " linia nigra" na unatokana na ngozi kutanuka na hormonal changes during pregnangy. kwa hiyo hakuna cha kutoa mimba hapo. na watu wengine wakizaa huwa unafutika kabisa
 
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa

mmmmhhhhhh......!!!!??
 
Back
Top Bottom