Msitari mweusi chini ya kitovu

acha kudanganyana, huo mstari upo kwa kila mtu ila unaonekana sana kwa wanawake na hasa wakiwa wajawazito.Kiutaalamu unajulikana kama " linia nigra" na unatokana na ngozi kutanuka na hormonal changes during pregnangy. kwa hiyo hakuna cha kutoa mimba hapo. na watu wengine wakizaa huwa unafutika kabisa

Afadhali something slightly believable.
Maana kuna mtu hapo juu kasema tumbo likitanuka tu, mstari unakuja. Ina maana hata tumbo likiwa a little distended baada ya mlo kuna uwezekano wa hii kitu? Imebidi niache kazi ghafla nipige walau a couple crunches.
Na kwa logic hiyohiyo inamaana wanaume wenye vitambi huwa na hii kitu pia...juuuust wondering.
 
Back
Top Bottom