Ni soksi saba tuu mkuu hapo ndo angalau lazima unaweza kupata kuanzia pair moja,

mambo ya probability za utotoni, umenikumbusha mbali sana.

Lakini pia ungesema source ya imformation maana kama ni simu inamwanga utamulikia.

Asante kwa kunirudisha utotoni mkuu wangu.

Naweka pair zote kwani hazitakuwa nzito kivile ili nitakapofika nichague pair moja ya kuvaa. Nyingine ntarudi nazo zikiwa safi.
mh!nashindwa kuamini mpaka sasa hakuna the most correct answer!
Umepata safari ya dharura usiku wa manane,ngeleja kaficha umeme wake,huna kifaa chochote chenye kutoa mwanga.Katika droo kuna pair tatu za soksi nyeupe na pair tatu za soksi nyeusi.Unataka kuweka kwenye briefcase angalau pair moja ya soksi nyeusi au pair moja ya soksi nyeupe.Utaweka at least soksi ngapi katika briefcase ili kupata pair moja iliyo sahihi?

Dah! Hapa umenikumbusha hesabu za probability, yaani hapa naweka soksi 12

Ni sahihi mkuu but i want someone to give me the least possible number of socks.