Msiri wako ni nani JF?

Mods popote mlipo nyie ndiye wasiri wangu pekee ninao waamini

Mnajua kabisa Wazee huwa tunaongea nini na Wajukuu zetu tukiwa tumevuta Kiko zetu 🤭

Endeleeni kutulinda dhidi ya Vijana wa hovyo wanapotuwekea mitego kutaka kutukata mitama wakihisi huwa tunakagua Wajukuu zetu humu jambo ambalo kwa Uzee huu hakuna Mzee yeyote anafanya🤪

Hello Sunday 🥂
 
Endeleeni kutulinda dhidi ya Vijana wa hovyo wanapotuwekea mitego kutaka kutukata mitama wakihisi huwa tunakagua Wajukuu zetu humu jambo ambalo kwa Uzee huu hakuna Mzee yeyote anafanya😂
 
Kijana wa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…