Msipotoshe, CCM haijatawala Miaka 50

Msipotoshe, CCM haijatawala Miaka 50

Huu ndiyo ukweli na ni lazima tuuelezenchama cha mapinduzi hatujaongoza nchi kwa miaka 50 Iko hivi .

1--1961 tulipopata uhuru TANU ndiyo iliongoza Tanganyika na si Tanzania hadi 1977 ni miaka 16.

1964 zanzibar ilifanya mapinduzi matakatifu na ASP ndiyo iliingoza nchi .

2--1964 tuliunganisha nchi kuwa Tanzania lakini vyama viliongoza eneo lake na si chama cha mapinduzi .

3--1977 ndipo tuliunganisha vyama vya TANU na ASP na kuzaliwa CCM hivyo ccm iliiongoza tanzania toka 1977 hadi 1995 tulipofanya uchaguzi wa vyama vingi ni takribani miaka 18 tu na hao wanaojiita wapinzani wakiwemo ndani ya serikali yaCCM.

Hivyo hawana sababu ya kukwepa amma kuzusha amma kuongopa kua hawakuwemo amma kushiriki na kutoa michango yao kwa miaka 34 toka tupate uhurub1961 hadi 1995.

4--Baada ya uchaguzi 1996 ndipo CCM kwa kuaminiwa na wananchi tulikabidhiwa kuwaongoza na kuiongoza nchi ni miaka19 tu na si 50 kama inavyodaiwa na kupotoshwa na vyama na wanachama wa vyama vya upinzani Tanzania.

5--Kwa mtazamo wako kwa akili na busara usikubali kudanganywa na upotoshaji huu usio na tija wala faida hauna takwimu wala tafiti za kweli na za maana zilizofanyiwa kazi kwa umakini nao.

6--Hii ni kuthibitisha kua wanachama wa vyama vya upinzani hawapo tayari kuwaambia watanzania ukweli na kuukubali ukweli sababu wamezoea kupinga na kusema uongo daima.

7--Nawaomba na kuwashauri watanzania kuwa makini kutowasikiliza na kutowapigia kura 25 oktoba sababu nia na madhumuni yao hayapo wazi ni kututumbukiza katika matatizo makubwa.

8--Chagua kilicho bora chagua chama cha mapinduzi na viongozi wake kwa manufaa maendeleo na mustakabali mzuri wa taifa letu kwa amani utulivu upendo na maendeleo.

Mungu awabariki sana muwe na busara na hekima muchague chama cha mapinduzi kuanzia madiwani wabunge na raisi.

9--Mungu ibariki tanzania na watu wake tujaalie afya busara na hekima.

Imetengenezwa nami HALFAN SAIDI DOSI kada wa chama cha mapinduzi.

unahitaji shule bint Mzuri, inaonyesha hujitambui kabisaaaaa, au mahaba yamekuzidi kwa babiyo na chama chenu. .Huwezi tofautisha TANU na CCM,ndio mana wakubwa zako au baba zako wakubwa hujitapa CCM ndio imekomboa nchi, sasa ukija ktk logic hiyo utakataa nakukana kuwa ccm haijakomboa nchi hii?Hakika huwezi tofautisha CCM NA TANU.C kama ilivyo rithi rasilimali zote za TANU ndivyo tunavyo hesabu hivyohivyo kuwa nichama tawala tangu 1961..Punguza mahaba simama ktk ukweli
 
Ewaaa!
Sasa waambie warudishe vitu vyote vilivyojengwa chini
ya TANU na ASP maana wamevipora na kuvifanya vyao wakati
vilikuwepo enzi za chama kimoja na vilitakiwa viwe vya serikali,tena ccm hii siyo ile ya mwaka 1977
Hii ni ya mwaka 1992 na ndo maana inaitwa NAMBARI WANI.

Maana ya nambari wani ni kwamba ilisajiliwa upya kama chama cha siasa
chini ya sheria iliyoanzisha vyama vingi mwaka 1992,ndo maana nasema wanaosema
ni wanachama wa ccm toka enzi hizo wanakosea.

Mwalimu Nyerere muasisi wa ccm 1977 alipoona ccm nambari wani
inavunja azimio la arusha alipiga kelele lakini aliye nje ya ikulu
sauti yake ni mara chache kusikika,akashindwa akanyamaza.Ushahidi tafuta
hotuba yake ya kilimanjaro hoteli ya mwaka 1995.

Niliwahi kusema ccm ya mwaka 1977 msingi wake mkuu ulikuwa azimio la Arusha
lililoongozwa na maadili ya viongozi.ccm Nambari wani ya 1992 msingi wake mkubwa ni azimio la
Zanzibar lililofuta maadili ya viongozi na kuwafanya viongozi kujirundikia mali
na ndo limetufikisha hapa tulipo.

Ninyi msiopotosha mbona haya hamyasemi?
au mnadhani wote tumezaliwa kipindi hiki.
Ni vyema kuueleza umma ukweli na ukweli utakuweka huru
Naamini utakubaliana na mimi kwamba hapa sijapotosha
ili kawaida ya shetani ukweli anauita uongo na uongo
anauita ukweli.
 
Huu ndiyo ukweli na ni lazima tuuelezenchama cha mapinduzi hatujaongoza nchi kwa miaka 50 Iko hivi .

1--1961 tulipopata uhuru TANU ndiyo iliongoza Tanganyika na si Tanzania hadi 1977 ni miaka 16.

1964 zanzibar ilifanya mapinduzi matakatifu na ASP ndiyo iliingoza nchi .

2--1964 tuliunganisha nchi kuwa Tanzania lakini vyama viliongoza eneo lake na si chama cha mapinduzi .

3--1977 ndipo tuliunganisha vyama vya TANU na ASP na kuzaliwa CCM hivyo ccm iliiongoza tanzania toka 1977 hadi 1995 tulipofanya uchaguzi wa vyama vingi ni takribani miaka 18 tu na hao wanaojiita wapinzani wakiwemo ndani ya serikali yaCCM.

Hivyo hawana sababu ya kukwepa amma kuzusha amma kuongopa kua hawakuwemo amma kushiriki na kutoa michango yao kwa miaka 34 toka tupate uhurub1961 hadi 1995.

4--Baada ya uchaguzi 1996 ndipo CCM kwa kuaminiwa na wananchi tulikabidhiwa kuwaongoza na kuiongoza nchi ni miaka19 tu na si 50 kama inavyodaiwa na kupotoshwa na vyama na wanachama wa vyama vya upinzani Tanzania.

5--Kwa mtazamo wako kwa akili na busara usikubali kudanganywa na upotoshaji huu usio na tija wala faida hauna takwimu wala tafiti za kweli na za maana zilizofanyiwa kazi kwa umakini nao.

6--Hii ni kuthibitisha kua wanachama wa vyama vya upinzani hawapo tayari kuwaambia watanzania ukweli na kuukubali ukweli sababu wamezoea kupinga na kusema uongo daima.

7--Nawaomba na kuwashauri watanzania kuwa makini kutowasikiliza na kutowapigia kura 25 oktoba sababu nia na madhumuni yao hayapo wazi ni kututumbukiza katika matatizo makubwa.

8--Chagua kilicho bora chagua chama cha mapinduzi na viongozi wake kwa manufaa maendeleo na mustakabali mzuri wa taifa letu kwa amani utulivu upendo na maendeleo.

Mungu awabariki sana muwe na busara na hekima muchague chama cha mapinduzi kuanzia madiwani wabunge na raisi.

9--Mungu ibariki tanzania na watu wake tujaalie afya busara na hekima.

Imetengenezwa nami HALFAN SAIDI DOSI kada wa chama cha mapinduzi.
Ben Mkapa hakukosea hata kidogo,na kabla ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa sote tulikuwa kwenye mfumo mmoja kwahiyo hizo porojo za kusema eti miaka 50 sijui zimetoka wapi,anza kulaumu baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi kabla ya huo mfumo kwa mema na mabaya wote tunahusika.
Tena wengine walikuwa wakiimba kama kasuku kusifia utendaji wa CCM hadi walipotoswa na walikuwa viongozi wenye maamuzi,tena maamuzi mengi yametia hasara nchi,kama vile kuvunja ghorofa pale Sea Cliff kisa nyumba ya bwana mkubwa inakosa,view.na walibaki huko hadi wamekatwa ndio wanapiga makelele,hawa ni sawa na hadithi ya sungura ya sizitaki mbichi hizi.
 
Nchi hii kweli inahitaji elimu, elimu na tena elimu.

Kumbe ukibadili jina na miaka yako ya kuishi inabadilika! Wewe mfianchi, leo ukiamua kwenda kuapa kubadili jina na kuitwa mlanchi miaka yako ya kuishi inapungua? Au ukioolewa na kuanzisha familia unabadili na miaka uliyoishi?

Chama ni wanachama. Walikuwepo chini ya hivyo ulivyovitaja kabla ya kuundwa FISIEMU ambako walijikuta tayari wapo kama waasisi.

Inashangaza kuukana umri wa chama kwa kuwa tu kimebadili jina. Ukweli ni kuwa baada ya kutawala kwa miaka 50 hiki ni Chama Chakavu - Mkweche (CCM). Acha Watanzania waujue ukweli huu na wafanye maamuzi sahihi ili mkongwe huyu wakimchagua watarajie muendelezo wa maumivu. Amechoka choke!
 
Huu ndiyo ukweli na ni lazima tuuelezenchama cha mapinduzi hatujaongoza nchi kwa miaka 50 Iko hivi .

1--1961 tulipopata uhuru TANU ndiyo iliongoza Tanganyika na si Tanzania hadi 1977 ni miaka 16.

1964 zanzibar ilifanya mapinduzi matakatifu na ASP ndiyo iliingoza nchi .

2--1964 tuliunganisha nchi kuwa Tanzania lakini vyama viliongoza eneo lake na si chama cha mapinduzi .

3--1977 ndipo tuliunganisha vyama vya TANU na ASP na kuzaliwa CCM hivyo ccm iliiongoza tanzania toka 1977 hadi 1995 tulipofanya uchaguzi wa vyama vingi ni takribani miaka 18 tu na hao wanaojiita wapinzani wakiwemo ndani ya serikali yaCCM.

Hivyo hawana sababu ya kukwepa amma kuzusha amma kuongopa kua hawakuwemo amma kushiriki na kutoa michango yao kwa miaka 34 toka tupate uhurub1961 hadi 1995.

4--Baada ya uchaguzi 1996 ndipo CCM kwa kuaminiwa na wananchi tulikabidhiwa kuwaongoza na kuiongoza nchi ni miaka19 tu na si 50 kama inavyodaiwa na kupotoshwa na vyama na wanachama wa vyama vya upinzani Tanzania.

5--Kwa mtazamo wako kwa akili na busara usikubali kudanganywa na upotoshaji huu usio na tija wala faida hauna takwimu wala tafiti za kweli na za maana zilizofanyiwa kazi kwa umakini nao.

6--Hii ni kuthibitisha kua wanachama wa vyama vya upinzani hawapo tayari kuwaambia watanzania ukweli na kuukubali ukweli sababu wamezoea kupinga na kusema uongo daima.

7--Nawaomba na kuwashauri watanzania kuwa makini kutowasikiliza na kutowapigia kura 25 oktoba sababu nia na madhumuni yao hayapo wazi ni kututumbukiza katika matatizo makubwa.

8--Chagua kilicho bora chagua chama cha mapinduzi na viongozi wake kwa manufaa maendeleo na mustakabali mzuri wa taifa letu kwa amani utulivu upendo na maendeleo.

Mungu awabariki sana muwe na busara na hekima muchague chama cha mapinduzi kuanzia madiwani wabunge na raisi.

9--Mungu ibariki tanzania na watu wake tujaalie afya busara na hekima.

Imetengenezwa nami HALFAN SAIDI DOSI kada wa chama cha mapinduzi.

Nakuonea huruma mtoto wa baba asiyejua historia. Ngoja nikufunze kidogo, kamshirikishe na kada Halfan Said:
1. Klabu ya Manchester United ilianzishwa mwaka 1878 ikiitwa Newton Heath Football Club, baada ya kuuzwa mwaka 1902 ilibadirishwa jina na kuitwa Manchester United Football Club. Mpaka sasa ukiulizwa umri wa Manchester United, unatumia mwaka 1878 kama mwaka wa kuzaliwa na si mwaka 1902 wa kubadirisha jina la sasa.
2. Pamoja na mikanganyiko ya historia za Klabu za Tanzania, angalau utajiridhisha kwamba klabu ya Yanga ilianzishwa mwaka 1926, ikipitia vipindi mbalimbali vya kubadirishwa majina na mitengano. Mfano mwaka 1928 waliitwa Navigators, pia kati ya 1928 hadi 1929 iliwahi itwa Taliana na baadaye New Youngs na mwaka 1935 ikaitwa Young Africans. Hivyo Yanga ilianzishwa mwaka 1926 na si mwaka 1935 wa kubadirisha jina la sasa.
3. Simba inadaiwa ilianzishwa mwaka 1936, ikiitwa Queens baadaye Eagles, halafu Dar Sunderland na mwaka 1971 ikaitwa Simba. Hivyo Simba haijaanzishwa mwaka 1971 bali 1936.
Usitake kuandika historia mpya. Halafu kwanini ukatae umri? mbona ninyi wenyewe mnasema mmeshiriki harakati za ukombozi Afrika? Au harakati zilianza mwaka 1977 tu?
By the way hata mngekuwa mmezaliwa 1977 bado ni umri mkubwa sana. Mataifa mengine chama kikikosea miaka minne hadi mitano kinatoswa, sembuse CCM yenye miaka zaidi ya 30 na tena kwa madhaifu haya? Furahieni ujinga wa watanzania kwa kitambo kifupi.
 
Mkapa ameacha Ufisadi? Kinana ameacha Ujangili? JK et al wameacha Kugawana ESCROW? Magufuli atarejesha Nyumba za Serikali alizowagawia wadogo zake na hata kimada wake ? ... Msiwadanganye Watanzania ... Ngeleja, Tibaijuka, Msuya, Lukuvi, Pinda, Membe wameondoka CCM? Tuambie hao Mapapa wataondoka lini?
Ndugu yangu nadhan unajambo la kujifunza kuhusu huu ubadhilifu wa tanzania, ni kweli haya yote yamekuwa kero kwa wananchi na ccm kwa kulitambua hilo wameamua kufanya mabadiliko makubwa kabisa kuwahi kutokea kwa kuwaondoa mafisad papa ambao ndio ilikuwa ajenda ya upinzan sasa leo hao manyangumi ndio wamekuwa vinara wa mabadiliko ni aibu kubwa pamoja na kuwa kwa uwezo wako umetizama ukaona ccm kizazi cha nyoka lakin amin usiamin mambo hayo ndo yatakuwa kwa upinzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom